Mwana FA: Waziri Pekee kwenye Baraza la mawaziri asiye na Degree

Awe na shahada au asiwe na shahada, kwangu hilo si la muhimu sana.

Kama ana uwezo mzuri wa utendaji kazi kwa uadilifu, inatosha.

Lililo la muhimu kwangu ni kama kweli anazo hizo sifa za kitaaluma zilizoainishwa hapo.

Ni kweli ana Master’s? Ni kweli kasoma na kuhitimu kwenye hizo taasisi?
 
Tatizo munachangia mada mukiwa na hangover, hakuna sehemu niliyoandika kwamba hana uwezo, au hajasoma huko ila nimesema kwamba yeye ameweka historia ya aina yake
 

Tanzania hakuna tofauti ya mawazo baina ya mwenye Phd na wa darasa la 7.
 
Tatizo munachangia mada mukiwa na hangover, hakuna sehemu niliyoandika kwamba hana uwezo, au hajasoma huko ila nimesema kwamba yeye ameweka historia ya aina yake
Hata hiyo historia ya aina yake si ya aina yake hivyo, kuna watu wamesoma Diploma na kuruka Masters.

Pia, kuna degree za kwanza zinaitwa Masters, kwa hivyo usione degree inaitwa Masters uka conclude tu kuwa ni degree ya pili.
 
Heading yako ni false. Haina maana kwa sababu manaibu mawaziri sio members wa baraza la mawaziri.
Please re-do, revisit your homework.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…