Mwana FA: Waziri Pekee kwenye Baraza la mawaziri asiye na Degree

System haiitaji degree yako Wala PhD πŸ˜…πŸ˜…
inahitaji uchawa na kujipendekeza tu basi. Ila wakitaka mtendaji wa mtaa tu wanahitaji Degree na uzoefu wa miaka mitano, ila wizarani hata msukuma anaweza kuwa waziri wa fedha
 
kabla ya uhuru elimu hata wa Darasa la nne ama middle skuli walikuwa viongozi wakubwa tu. nimesema katika baraza hili la mawaziri la sasa
Education arrogance ndio inayo wapa shida sana wajinga wengi wanasahahu kwamba uongozi na elimu ni vitu viwili tofauti kabisa
 
Before hapo nani alikua refa wake? Nani ni refa wake kuwa N. Waziri? Hii ni chance aliyochukua na imemlipa.

Luck Is What Happens When Preparation Meets Opportunity
alibebwa akashikilia vizuri. nchi huwezi toboa kama huna refa wala connection mzee
 
inahitaji uchawa na kujipendekeza tu basi. Ila wakitaka mtendaji wa mtaa tu wanahitaji Degree na uzoefu wa miaka mitano, ila wizarani hata msukuma anaweza kuwa waziri wa fedha
Tatzo mkipewa vyeo mnatak kutukuzwa na v8 zenu ni Bora umuajiri asiye na akili lakn mwerevu sio wavimba vichwa
 
Hahahaha mtoa Mada unachekesha.

Mbona Samia ni Rais na Hana Degree

Warabu wa Pemba hao !!.
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…Nilitaka kulisema hili mweh,mdomo koma, inshort kwa maza hayo mavyeti hayana uzito kwenye kuteua kwake,yani si kigezo kihivyo
 
Tatzo mkipewa vyeo mnatak kutukuzwa na v8 zenu ni Bora umuajiri asiye na akili lakn mwerevu sio wavimba vichwa
Si ajabu mwijaku akawa katibu Mkuu wa wizara hiyo huko mbeleni tusubiri mkeka ujao, utakaorudi na jina la baba levo
 
Kama alivosema jamaa Uongozi ni tofauti na kiwango cha Elimu ,
 
Masters kasoma mwaka gani au katungua kama "Dr." Taletale
 
Sema Tanzania bwana tuna kasumba flani hivi.

Mtu akifanikiwa kidogo tu utasikia jamaa smart sana kichwani ilhali anaweza hata asiwe na usmart wowote.

Chawa watakuja kusema ni wivu.
 
alibebwa akashikilia vizuri. nchi huwezi toboa kama huna refa wala connection mzee

Hilo tobo kulitafuta mwenyewe kabla ya kubebwa na mzeebaba. Angekaa na mawazo tu kwamba hana connection asijaribu asingefika alipofika. Opportunity loves preparation.
 
Msc ni 'digree ya bei nafuu'. Yani mwenye MsC ya Finance ni ya kumsaidia apate CPA tu.
Mtu mwenye Adv Diploma hawezi soma Masterz nzito nzito kama MBA bila kusoma Post Graduate Diploma au kuwa na uzoefu wa miaka mingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…