Mwana FA: Waziri Pekee kwenye Baraza la mawaziri asiye na Degree

IFM, DSA na hata CBE walikuwa wanatoa Advanced diploma ambayo ni equivalent to Bachelor degree.
 
Jenister Mvuka mto
 
Kitendo cha FA kuchaguliwa tu kusoma sekondari Tanga Tech kinatosha kuonyesha akili nyingi alikuwa nazo. Kwa miaka ile aliyosoma ilikuwa sio mchezo mtu kufaulu darasa la 7 kwenda shule kama Tanga Technical. Degree hana ila Advanced Diploma aliyosoma ni sawa na degree technically. Wapo wasomi wengi sana nguli nchi hii ambao walisoma Advanced Diploma wakaenda masters. Wakongwe wengi walisomea IDM Mzumbe na IFM.

Nadhani tutafute kitu kingine cha kumshambulia nacho FA ila sio elimu. Kielimu kamzidi hadi kiongozi mkuu wa upinzani ambaye pia ni mmiliki wa chama.
 
Mwana FA ana akili ya Uongozi na sio akili ya vyeti Kam wengi wanavyoamini
 

Bila kumzungumzia mlengwa ambaye inasemekana ana Masters, tuache kudharau elimu. Kuna watoto wanakua and hizi kauli haziwajengi. Kuna nafasi tuzipe heshima yake, mfano uwaziri, ukurugenzi wa taasisi za serikali na hata ubunge, zizingatie kiwango cha elimu.
 
Iko hivi Mwana FA alisoma IFM certificate mwaka mmoja, baadae akapiga miaka miwili ya Advanced diploma palepale IFM maana mfumo wa zamani kabla ya kuanza kutoa degree vyuo kama IFM na Mzumbe walitoa advanced diploma ambayo ilikua equivalent to degree, ile advanced diploma ndio jamaa aliitumia kusomea masters maana alifaulu vizuri sana, kwahiyo mengine ni chuki tu lakini ndio hivo anapanda taratibu na iko siku atakua waziri kamili
 
Si kweli anayo.
 
Watu wa kule hao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…