TANZIA Mwana-JamiiForums, Thadei Ole Mushi afariki dunia

TANZIA Mwana-JamiiForums, Thadei Ole Mushi afariki dunia

Sasa kwa nini mumemuua naye hakuwa tishio kwenu? Na mnathibisha kuwa wale wanaokuwa tishio mnawaua.
Mkuu unakosea kwa kunihusisha na mauaji ya mtu ambae simjui wala hanijui.
Kwenye siaisa kuna michezo mingi tu michafu na yakikatilia na sio kwa ccm tu ata kwa ivo vyama vyengine vya upinzani.
 
Mkuu unakosea kwa kunihusisha na mauaji ya mtu ambae simjui wala hanijui.
Kwenye siaisa kuna michezo mingi tu michafu na yakikatilia na sio kwa ccm tu ata kwa ivo vyama vyengine vya upinzani.
Kauli yako kama ingekuwa mahakamani ingekutia matatani kuwa yeye hakuwa tishio ina maana ambao ni tishio mnawaua.
 
Kutukana watu ovyo kwenye simu from no where ni dallili ya kuwa una ugonjwa wa akili.
Ugonjwa wangu wa Akili unauzidi huu wako hapa chini kwa kujua fika kuwa hujui Kiingereza halafu unajitutumua Kukiandika halafu Unakikisea na Kukichapia?
Screenshot_20240202-203850.png

Screenshot_20240202-205325.png

Nasubiri majibu tafadhali.
 
Pumzika kwa Amani Ole Mushi. Japo hiyo Ole kwa Mchagga nilitegemea ungetumia Oko
Hiyo Ole nadhani aliiweka kama kionjo,kwenye majina kamili ya kwao hasa kwa Mzee wake pale Uru Kitandu Chombo hakuna jina la Ole.
 
Nyumbanib Kwa mpendwa wetu ni wapi na mazishi ni wapi na tarehe ngapi?

Wenzetu tunataka kufika pia kutoa pole Kwa ndugu na jamaa.

Mwenye kupajua tafadhali.
Nyumbani kwao ni Moshi Vijijini Uru Kitandu opposite na shule ya Msingi Chombo,kutoka Moshi Mjini mpaka kwao ni mwendo wa 7km. Misa ya Ibada ndio imemalizika muda huu hapa Muhimbili Hospital,marehemu na ndugu wa karibu watapanda Ndege, kuna usafiri bure wa kwenda na kurudi kwa majirani,ndugu na marafiki. Mazishi ni kesho tarehe 7 february saa nane mchana nyumbani kwao Uru Kitandu.
 
Back
Top Bottom