Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chukua chako mapema wamemchukuaNasikia alilambwishwa Poison, Ni yakweli haya.?
Nlikuepo mule sema alikua anapiga spanaPoleni wafiwa, tulipamban sana kwa hoja enzi za TANURU LA FIKRA facebook,
Sisi wananchi tunaomba kujuzwa Hali ya afya ya Kada maarufu WA CCM. Zile tuhuma ziliishia Wapi? Anaendeleaje sasa? Mkumbuke ana familia na Ndugu wanaomtegemea
Chawa wa 5 🌟Hasira za nini kifo hata wewe utakufa tu hata uwe chawa wa 5 star
A LOST BRAIN!Upumzike kwa Amani Mwanaharakati Mahiri na Kijana Mzalendo wa Taifa hili,View attachment 2893904
Eti ulilipwa kiasi gani jombaaa??Umeona habari huko umekuja kutega hapa
Bwege kweli na shetani mweupe wewe
Sijawahi kujua kuna mchaga aweza kuwa chawa wa kiwango cha SGR yelewiiChawa wa 5 🌟
😂😂😂
Kwa ajili ya nini tena alilipwa mkuu?Eti ulilipwa kiasi gani jombaaa??
Huyu ndiye aliyemwekea sumu kumbe?Eti ulilipwa kiasi gani jombaaa??
Kumwekea sumu mwambaKwa ajili ya nini tena alilipwa mkuu?
MchagaHuyu ni Masai au mchaga?
Sisi wananchi tunaomba kujuzwa Hali ya afya ya Kada maarufu WA CCM. Zile tuhuma ziliishia Wapi? Anaendeleaje sasa? Mkumbuke ana familia na Ndugu wanaomtegemea