TANZIA Mwana-JamiiForums, Thadei Ole Mushi afariki dunia

TANZIA Mwana-JamiiForums, Thadei Ole Mushi afariki dunia

Siku za mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke ni fupi sana, Bwana utupe hekima kuzihesabu siku zetu. Lakini lipo tumaini ng'ambo ya kaburi wale wafu waliokufa ktk Bwana watafufuliwa

Pole sana kwa ndugu, jamaa na marafiki
Amiin
 
Apumzike kwa amani

Ufunuo 21: 3- Kisha nikasikia sauti kubwa kutoka katika kiti cha enzi ikisema, “Tazama! Maskani ya Mungu kati ya watu. Atakaa kati yao, nao watakuwa watu wake, naye atakuwa Mungu wao. 4- Yeye atayafuta machozi yao yote; maana kifo hakitakuwako tena, wala uchungu, wala kilio, wala maumivu; maana ile hali ya kale imepita!
 
RIP Thadei Ole Mushi.
Thadei alikuwa mwalimu na mchambuzi mahiri wa siasa pia mwananchama wa CCM.
Alikuwa ni mwandishi mzuri hasa kupitia ukurasa wake wa Facebook.

Thadei pia Alikuwa mmoja wa memba wa Jamiiforum.Alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa moyo.

Watu maarufu mbalimbali wameanza kutoa pole kwa familia akiwemo mkuu wa mkoa wa Njombe mh.Antony Mtaka.

Taarifa zaidi zitafuata.
View attachment 2893951
Rest in peace corps, nilikuwa naye mafunzoni nje alikuwa askar shupavu akihudumu kama Mwalimu

USSR

Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom