Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
Pole sana kwa familia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuhNasikia alilambwishwa Poison, Ni yakweli haya.?
Hizo spana zilimkosea nini?Nlikuepo mule sema alikua anapiga spana
Blaza siku hz wale drug dealers kutoka mexico wanakuletea mzigo hadi magetoni?Hizo spana zilimkosea mini?
Mkuu hupo? Long time jamvin.Pole sana kwa familia
Please tuko kwenye majonzi na msiba na unanifanya nicheke kwa sautiBlaza siku hz wale drug dealers kutoka mexico wanakuletea mzigo hadi magetoni?
Ila katika haya maisha ni kumtanguliza Mungu kwa kila jambo nakumuomba akulinde. Yani watu siyo wa kuwaamini kabisa. usikute huyo Masawe, Thadei alimuamini sana matokeo yake akamuwekea sumu.Masawe kamuua Mushi!,kama ni kweli Masawe asubiri kalma.
Vaa barokoa Cheka kimya kimya!Please tuki kwenye majonzi na msiba na unanifanya nicheke kwa sauti