TANZIA Mwana-JamiiForums, Thadei Ole Mushi afariki dunia

TANZIA Mwana-JamiiForums, Thadei Ole Mushi afariki dunia

MwanaCCM na MwanaJF Thadei Ole Mushi amefariki dunia.

Ole Mushi alikuwa anaugua kwa muda mrefu.

Thadei amefariki duniani asubuhi hii katika hospitali ya moyo JKCI, Muhimbili.

Mwenyezi Mungu ampumzishe mahali pema peponi na atupe nguvu na faraja.

Zaidi soma Ole Mushi ni mgonjwa sana.

View attachment 2893963View attachment 2893962
Picha: Ole Mushi enzi za uhai wake
R.I.P

Nikita sijui nani ataripoti humu jf maana hakuna mtu anaefahamu Utambuzi wangu miongoni mwa yunaofahamiana.
 
Baadhi ya kazi zake
===

 
Ndani ya CCM mbona jambo la kawaida sana hilo,kamuulize mtu anaitwa Mwakyembe taarifa zao anazo.

And by the way huyu ndiye wakati fulani kulikuwa na uzi wake humu akidhihaki ndugu za waliopotelewa na jamaa zao wa karibu akiwemo Ben Saanane na yule mwandishi wa Kibiti?
Mmmmmgh sidhani kama ni yeye, anyway sikumbuki Ole kufanya Jambo kama hili
 
Back
Top Bottom