TANZIA Mwana-JamiiForums, Thadei Ole Mushi afariki dunia

TANZIA Mwana-JamiiForums, Thadei Ole Mushi afariki dunia

Apumzike kwa Amani, haijalishi alikua mwanachama gabi, ahera hakuna CCM wala Chadema mwendo ameumaliza

Wala akhera hakuna mkristo wala muislam Mungu hana Dini

Apumzike kwa amani marehemu
 
..huyu si walisema Rais ametoa ndege apelekwe Nairobi kwa matibabu?

..sasa nini kimetokea mpaka amefariki akiwa Muhimbili?
• Pepo za zuli zilivuma kuwa yupo hospital za jiji lile palipo jengwa Nyumba nyeupe mpya, wanazengo wakazidi kutoa maoni zaidi kwamba anapewa matibabu hafifu sana kulinga na tatizo alilo nalo. Baada ya hapo kimya kilikua kingi sana, kila mwana East hakuelewa kinachoendelea kwenye ardhi hii kuhusu yule jamaa.

• ukiwa kwenye target zao, huwezi kupona, maana yake wanapuliza kidogo, wanang'ata zaidi
 
Thadei OLe Mushi ametwaliwa katika Ulimwengu Mungu. Alikuwa kada wa CCM aliyependa haki na hakusita kukosoa adharani.

Alipoanza kuugua tu viongozi wa CCM wakajitenga naye na hakuna aliyejitokeza adharani kumtakia afya njema wala kutoa mchango wa matibabu .

Sawa ameondoka, tulitegemea account za wana CCM ziandike japo RIP lakini wote wamekaa kimya. Means kwao itikadi ya chama ni kubwa kuliko maisha na uhai?

Tujifunze kuchagua marafiki. Naamini siku ya mazishi wataandaa risala na watafanya kama vile siyo wao waliokaa kimya kwenye ugonjwa.

Tunapita ila tujiulize tunapitaje?
 
Back
Top Bottom