Pre GE2025 Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wana JF,

Maadam JF ni ukumbi wetu, na sisi humu JF, tuko members wengi, na tumefanya mengi, hivyo mimi member mwenzenu Pascal Mayalla, naomba niwe wa kwanza, kuwajulisha wana JF wenzangu, ili kuwapa ile JF advantage ya wewe kama Mwana JF, be the first to know kuwa CCM ndio mshindi wa jumla wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 kufuatia ushindi wa kishindo wa uchaguzi huu wa Serikali za mitaa kwa a landslide victory ya ushindi wa kishindo, kwa kwa kukomba almost everything,kila mtaa,kila kata,kila kitongoji na kila kijiji, hivyo mshindi wa serikali ya mtaa mwaka huu, ndie mshindi wa uchaguzi mkuu wa 2025!。

Ushindi huu ni kufuatia mimi mwana JF mwenzenu, Pasco Mayalla, nimesikia sauti ndani ya moyo wangu, yaani ile "voices from within", kuwa katika uchaguzi huu, wa serikali za mitaa, mshindi wa jumla ni CCM!, ndie anayekwenda kushinda uchaguzi wa 2025!。

Hii voices from within yangu is never wrong, maana ni sauti yake YEYE mwenyewe!,aliye ndani yangu!。

Lengo la uzi huu sio kutangaza ushindi wa CCM uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu 2024, bali kuutangaza ushindi wa CCM uchaguzi Mkuu wa 2025!.

Kufuatia wengi hawana muda kusoma makitu marefu,wale wa short and clear mnaweza kuishia hapa na ku jump kwenye conclusion
Mjue Pasco

Mambo ambayo Pasco ni wa kwanza humu jf

  1. leo ninapowaeleza humu mshindi wa jumla wa uchaguzi huu wa serikali za mitaa ni CCM,na mshindi wa uchaguzi Mkuu wa 2025 ni CCM, naombeni tuu mniamini, na kwa msio amini, endeleeni kusubiria matokeo rasmi ndipo mtaamini.
  2. Hii predictability ya mshindi wa uchaguzi kabla hujafanyika,inamaana chaguzi zetu ni very predictable,uchaguzi haujafanyika,huku watu wanajua matokeo,hii inaweza kumaanisha sio kuwa tunafanya uchaguzi,bali ni tunafanya igizo tuu la uchaguzi!。
Maoni yangu Kuhusu uchaguzi huu wa serikali za mitaa na uchaguzi Mkuu wa 2025

Conclusion
Tanzania sio nchi ya watu fulani tuu au chama fulani tuu, Tanzania ni nchi ya Watanzania wote, wa vyama vyote, dini zote, makabila yote, jamii zote, jinsia zote, rangi zote, hali zote za maisha, matajiri na masikini na Watanzania wa circumstances zote.

Nimesikia sauti, "voices from within" ikiniambia kuwa tukiendelea kufanya chaguzi zetu kwa Mutatis Mutandis, hizi, kuna jambo fulani litatokea tena kama lilivyotokea baada ya mutatis mutandis ya uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 na uchaguzi mkuu wa 2020.

Hivyo uchukulie uzi huu kama uzi wa an info pack ya mshindi wa uchaguzi mkuu wa 2025 ni CCM, Wapinzani labda 2030 Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!

Hongera sana CCM kwa ushindi wa kishindo baada ya Watanzania kutekeleza kwa vitendo wito huu Ukipokea Ujumbe Huu wa Rais Samia Kuhusu Kesho, Usikae Nao, Sambazia na Wengine!. Kesho Kazi ni Moja Tuu!, ni Unachukua...Unaweka...!.

Na。kuhusu uchaguzi wa 2025
Mpaka sasa wengi wanaamini mgombea wa urais wa CCM 2025 ni huyu anayetajwa tajwa, be the first to know mgombea urais wa CCM 2025 sio lazima awe yeye huyu kama HII sauti ni sauti ya kweli 。

Mungu Ibariki Tanzania

Paskali
Kuna siku utakumbukwa Poti...
Teh teh.
 
Paskali Minyama ( Eagle ) kiaja wa Makumbuso .
Propaganda Operative Officer katika Cover ya Investigative Journalist nyuma ya Pazia no Tisiem.
 
Huo ulikuwa uchaguzi ama uharamia?.
Huu ujinga wa kupiga kura sitakuja kuufanya katu kwa sasa
Kuna haja gani ya kufanya uchaguzi kama kutimiza wajibu ilihali mshindi na mporaji wa haki ya wapiga kura tena kwa bao la mkono anajulikana?
Vijana wa sasa tumejiandaa kwa NEW WORLD ORDER, mara mia tukajua tunatawaliwa na shetani moja kwa moja kuliko shetani aliyejificha kwenye vazi la kondoo...
 
Ni ngumu kumwelewa Pascal kwenye huu Uzi..nawashauri members msome kwa umakini,neno hadi neno,mstari hadi mstari..
Kuna baadhi ya maneno ameyaandika kwa codes zilizo wazi kabisa ambazo hata mtu mwenye uelewa wa kawaida kabisa anayeishi huko Kalambanzite anaweza akamuelewa.
Sijaona mahali ambapo Pascal Mayalla ameusapoti huu ushindi wa Revolutionary Party.
 
Wana JF,

Maadam JF ni ukumbi wetu, na sisi humu JF, tuko members wengi, na tumefanya mengi, hivyo mimi member mwenzenu Pascal Mayalla, naomba niwe wa kwanza, kuwajulisha wana JF wenzangu, ili kuwapa ile JF advantage ya wewe kama Mwana JF, be the first to know kuwa CCM ndio mshindi wa jumla wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 kufuatia ushindi wa kishindo wa uchaguzi huu wa Serikali za mitaa kwa a landslide victory ya ushindi wa kishindo, kwa kwa kukomba almost everything,kila mtaa,kila kata,kila kitongoji na kila kijiji, hivyo mshindi wa serikali ya mtaa mwaka huu, ndie mshindi wa uchaguzi mkuu wa 2025!。

Ushindi huu ni kufuatia mimi mwana JF mwenzenu, Pasco Mayalla, nimesikia sauti ndani ya moyo wangu, yaani ile "voices from within", kuwa katika uchaguzi huu, wa serikali za mitaa, mshindi wa jumla ni CCM!, ndie anayekwenda kushinda uchaguzi wa 2025!。

Hii voices from within yangu is never wrong, maana ni sauti yake YEYE mwenyewe!,aliye ndani yangu!。

Lengo la uzi huu sio kutangaza ushindi wa CCM uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu 2024, bali kuutangaza ushindi wa CCM uchaguzi Mkuu wa 2025!.

Kufuatia wengi hawana muda kusoma makitu marefu,wale wa short and clear mnaweza kuishia hapa na ku jump kwenye conclusion
Mjue Pasco

Mambo ambayo Pasco ni wa kwanza humu jf

leo ninapowaeleza humu mshindi wa jumla wa uchaguzi huu wa serikali za mitaa ni CCM,na mshindi wa uchaguzi Mkuu wa 2025 ni CCM, naombeni tuu mniamini, na kwa msio amini, endeleeni kusubiria matokeo rasmi ndipo mtaamini.

Hii predictability ya mshindi wa uchaguzi kabla hujafanyika,inamaana chaguzi zetu ni very predictable,uchaguzi haujafanyika,huku watu wanajua matokeo,hii inaweza kumaanisha sio kuwa tunafanya uchaguzi,bali ni tunafanya igizo tuu la uchaguzi!。
Maoni yangu Kuhusu uchaguzi huu wa serikali za mitaa na uchaguzi Mkuu wa 2025

Conclusion
Tanzania sio nchi ya watu fulani tuu au chama fulani tuu, Tanzania ni nchi ya Watanzania wote, wa vyama vyote, dini zote, makabila yote, jamii zote, jinsia zote, rangi zote, hali zote za maisha, matajiri na masikini na Watanzania wa circumstances zote.

Nimesikia sauti, "voices from within" ikiniambia kuwa tukiendelea kufanya chaguzi zetu kwa Mutatis Mutandis, hizi, kuna jambo fulani litatokea tena kama lilivyotokea baada ya mutatis mutandis ya uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 na uchaguzi mkuu wa 2020.
Sijui ni wangapi humu wanaojua, kile kilichotokea ile 2021, kilichangiwa na matokeo ya uchaguzi wa 2019 na uchaguzi wa 2020, tusiporekebisha makosa, kinaweza kujirudia!.

Hivyo uchukulie uzi huu kama uzi wa an info pack ya mshindi wa uchaguzi mkuu wa 2025 ni CCM, Wapinzani labda 2030 Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!

Hongera sana CCM kwa ushindi wa kishindo baada ya Watanzania kutekeleza kwa vitendo wito huu Ukipokea Ujumbe Huu wa Rais Samia Kuhusu Kesho, Usikae Nao, Sambazia na Wengine!. Kesho Kazi ni Moja Tuu!, ni Unachukua...Unaweka...!.

Hata baada ya uchaguzi huu wa serikali za mitaa, fursa to make it right kwa uchaguzi wa 2025 bado ipo!.
Rais Samia ni fursa ya kutenda haki 2025, Ombi kwa Rais Samia: Japo wengi wape, wachache pia wasikilizwe, Hoja ya kufanya minimum reforms za Katiba ni hoja ya msingi sana kuliko hata Sheria!
Mungu Ibariki Tanzania

Paskali

P,

70% ya wagombea hawana wakupinga, wizi wa kura kila mahali hakuna cha kushangaa. Mama samia ndiyo katushangaza sana kwa kuwa mwongo na muigizaji badala ya kuwa kiongozi. Huu uchaguzi ni pengo lingine kwa nchi yetu na mwaka kesho itakuwa ngumu sana kwa utaratibu huu kuwashawishi wapiga kura
 
Inahitaji akili ya taahira kujisifu kwa ushindi hadaa kama huu. Upigane na mtu ambaye amefungwa mikono halafu ufurahie huo ni ujuha.
 
Kwa hili la kura 1 hakika ulistahili.

A good dancer knows when to leave the stage.
images - 2024-11-27T211227.622.jpeg
 
Sikutegemea kama na wewe huna akili nilikuwa nakuheshimu sana kwa michango yako humu ndani kuanzia nimekuzarau
 
Sema ccm mmeiba kura kila kata, ccm ni mijizi sana mlaaniwe. Eti tumeshinda shame on u
 
Back
Top Bottom