Mwana Siasa Yupi hapa Nchini Mwenye Uwezo wa Kukusanya Na kubeba watu Wengi Kiasi hiki Cha Rais Samia?

Hapo kuna wafanyakazi, wanafunz wa shule zote machawa ambao wamesafirishwa kwa lazima. Wafanyakazi na wanafunzi wamesafirshwa kwa lazima tu.
 
Hapo kuna wafanyakazi, wanafunz wa shule zote machawa ambao wamesafirishwa kwa lazima. Wafanyakazi na wanafunzi wamesafirshwa kwa lazima tu.
Embu nenda na wewe kaandae mkutano upate watu wengi kiasi hicho.
 
Niambie ni mwana siasa Yupi zaidi ya Rais Samia mwenye uwezo wa kuvuta watu kiasi hicho? Ni nani huyo? Mtaje
CCM ndio chama kilichobeba matumaini ya mamilioni ya watanzania.ndio bima ya watanzania kwa kila tatizo kero.ndio maana inaaminika sana kwa watanzania
Polisi waache kuingilia vyama vingine vya siasa waachane na kupelekwa pelekwa na njaa zao. Halafu wenye vijimshshara vya laki 3 ndo wanaoshika virungu kuwapiga watanzania wenzao. Wenye vyeo na vitambi wanaagiza tu, wapigwe huku wanakula keki ya taifa. Tunaumizana wenyewe kwa wenyewe. Mtu akianza kampeni kabla ya muda haujui kuwa anapata faida? Siyo mjinga huyo. Wew piga makofi sambaza mikono yako tu.
 
Kipindi Cha uchaguzi 2015 kampeni za lowassa ulikua haujazaliwa??!

Tuachane na hayo...your too biased mpaka BIASED yenyewe inakuogopa 😂🤣
 
Hata hayati hakuwahi kukusanya umati kama huu.
Tunasubiri sanduku la KURA tuweke Kura zetu Kama zawadi kwa Samia na kwa Chama Cha Mapinduzi
 
Hivi wewe Luca,huwa unakumbuka hata kwenda kufua vivazi vyako mtoni kweli?Kila muda unawaza mambo yasiyokupa hata debe la manumbu wala mbalagha!
 
Gundu ya nini tena
Mwashambwa matusi yangekuwa yanaruhusiwa ningekutukana. Haiwezi kumsifia mtu kwenye taifa hili hata wewe ungekuwa rais tungejaa. Ni yupi ambaye watu hawajawahi kujaa labda membe. Kwa Slaa hawakujaa? Kwa Lowasa hawakujaa? Kwa Mrema hawakujaa? Mpaka gari kusukumwa? Kwa Magufuli hawakujaa? Watanganyika kwa ujinga wetu wa kukosa elimu na umasikini pamoja na ujinga wako. Ni bendera fuata upepo. Haiwezekani kauli za Mwenyekiti vijana Ngara, Nape Nauye, Anna Tibaijuka, Mkuu wa wilaya wa wapi sijui, tabia za polisi kejeli nyingi tu za wanasiasa wa ccm bado watanganyika hatujitambui.
 
Kwa sasa kila chama kipo huru na uhuru umetolewa kufanya mikutano ya siasa.Sema vyama kama CHADEMA inaonekana vinakabiliwa na ukata mkubwa sana wa pesa.
 
Sema wewe ndiye hujitambui .lakini watanzania wanajitambua na wanatambua kazi kubwa iliyofanywa na Rais Samia na serikali yake
 
Kwa upande wangu, si kipimo sahihi kulinganisha umati wa Rais na wa mwanasiasa mwingine asiye Rais kwa sababu mbalimbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…