East Wind
JF-Expert Member
- Jun 17, 2020
- 2,783
- 6,058
Ataungana na wenzake pale chako ni chako dodoma 😀😀😀😀sio mimi mkuu, wajumbe wa awamu ya tano ni hatari zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ataungana na wenzake pale chako ni chako dodoma 😀😀😀😀sio mimi mkuu, wajumbe wa awamu ya tano ni hatari zaidi
Unafikiri wakati anamtukana mwenyekiti wake Mbowe, chini ya usimamizi wa Sabufa, aliyejua kuwa anaweza kupata kura mbili hata kwenye udiwani CCM? Yeye alijioana kuwa ni keki, alijiona kwamba CCM watamwona wa maana sana kuanzia WAJUMBEmpaa mwenye chama. Huyu angebaki CDM angekuwa na thamani kubwa sana, vijana ambao wamekabiliana na siasa za awamu ya tano za mkono wa chuma na kukataa kuunga juhudi, wamebaki na heshima kubwa zana kwa wanannchi waliowapigia kura na kupata ubunge. Lijuakali na wenzake wanaonekana wa hovyo tu. Yule Abdallah Mtolea aliyekuwa CUF akaunga juhudi kwenda CCM hata kule kwao Buza anaishi kwa kujifichaficha, ovyo kabisa hawa watu!Kwani kila anayegombea kazima apate? Kama angebaki CDM na kisha kushindwa vibaya kura za maoni badi mngempitisha?
Kuhama CDM hakuna uhusiano na kushindwa kwake kura za maoni. Wewe furahi mbaya wako ameshindwa basi.
Laana za chadema siyo mchezo.tulisema huyo kaisha potea kisiasa na ndo basi tena
Siyo yeye ni laana za chadema. Nje ya chadema lijualibovu hana influence yoyote kwa watu, lkn yy akaamua kunyea kambi.huyu ndio kaweka historia kutoka ubunge hadi kugombea udiwani.
Wasaliti walihadaiwa na kauli ya jiwe alipomjibu Nsonjo kwamba wasaliti wanastahili kupewa kipaumbele kwenye majimbo. Wasaliti wote wakavimba vichwa.Unafikiri wakati anamtukana mwenyekiti wake Mbowe, chini ya usimamizi wa Sabufa, aliyejua kuwa anaweza kupata kura mbili hata kwenye udiwani CCM? Yeye alijioana kuwa ni keki, alijiona kwamba CCM watamwona wa maana sana kuanzia WAJUMBEmpaa mwenye chama. Huyu angebaki CDM angekuwa na thamani kubwa sana, vijana ambao wamekabiliana na siasa za awamu ya tano za mkono wa chuma na kukataa kuunga juhudi, wamebaki na heshima kubwa zana kwa wanannchi waliowapigia kura na kupata ubunge. Lijuakali na wenzake wanaonekana wa hovyo tu. Yule Abdallah Mtolea aliyekuwa CUF akaunga juhudi kwenda CCM hata kule kwao Buza anaishi kwa kujifichaficha, ovyo kabisa hawa watu!
Hapana. Asisamehewe huyu. Alileta madheleu makubwa huyu mwanakuli-findChadema wamsamehe. Mbowe Msamehe kijana ingawa alikudhalilisha.
Huyu hakuomba Ubunge wa la udiwani , pale bungeni wakati anamtukana Mbowe , aliomba kazi ya kufanya usafi kwenye vyoo vya lumumba , hii kazi hawezi kukosaHabari kutoka huko jimboni kilombero hali ya mtoto wa mjini Lijualikali ni tete kisiasa.
Baada ya kuunga mkono juhudi kuangukia mikononi mwa spana za wajumbe wa ccm na kuambulia kura 2 ameamua kujiongeza na kwenda kwenye kura za maoni udiwani akaambulia kura 5,Sasa anaomba kurudi
Usaliti huzaa laana. Hawa waliowasaliti wananchi, hakuna atakayekuwa na future nzuri kisiasa. Hata wale wachache sana waliopenya, wapo kwenye trajectory ile ile. Mwishoni wataangukia pua.Nikikumbuka alivyolia Bungeni akimlaumu Mbowe harafu Wajumbe wamtupe nje kwenye Ubunge na Udiwani naona huruma kweli kweli.Anyway alishasema kuwa ni afadhali apewe kibarua cha kufagia kuliko kurudi CDM!
Maskini kashakuwa kama ShibudaHabari kutoka huko jimboni kilombero hali ya mtoto wa mjini Lijualikali ni tete kisiasa.
Baada ya kuunga mkono juhudi kuangukia mikononi mwa spana za wajumbe wa ccm na kuambulia kura 2 ameamua kujiongeza na kwenda kwenye kura za maoni udiwani akaambulia kura 5,Sasa anaomba kurudi
Usaliti ni sawa na Dhambi ya kuua. Kila unapokwenda Ardhi inakukataa.Usaliti huzaa laana. Hawa waliowasaliti wananchi, hakuna atakayekuwa na future nzuri kisiasa. Hata wale wachache sana waliopenya, wapo kwenye trajectory ile ile. Mwishoni wataangukia pua.
Lijuakali rudi nyuma, jutia kwa kukubali kuwa jumba la shetani, jitafakari, yaanze maisha yako mapya, na wala usifikirie tena kuhudumu nafasi ya uongozi wa watu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuupata ubunge aliupata kwa sacrifice kubwa sana wananchi walichoma shule na ofisi za ccm ili kushinikiza atangazwe.Lijualikali ataishi kwa kutangatanga sana, laana ya kuwasaliti wananchi Wa kilombero haitamuacha salama
Kwa kipindi kile ccm jimbo la kilombero lilikuwa la chadema tu,maana hata aliekuwa mbunge mteketa aliteuliwa tu lkn ilishinda chadema na alikuwa regia mtema kwa hiyo baada ya kuona mambo magumu ccm wakamtuma kingunge aje kuweka mambo sawa ndio akatangazwa mteketa huku regia mtema akipewa viti maalum,kwa bahati mbaya alifariki huyu dada kwa ajali ya gari na maziko yake kikwete alikuja ,wakati huo lijua likali bado anatunza dawa stoo pale ifakara
Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app