Tulibhalegha
Member
- Mar 29, 2026
- 34
- 50
Duh, nimekuwa dear tena au ndio uzungu, lakini sawa, kumuita mtu kafir au mtoto wa zinaa ni kitendo hicho hicho kinachosababishwa na sababu hiyo hiyo, yaani imani, suala sio kuuma ila nauona uwalakini ndani ya moyo wa anayejitia kuamini huku akimuita mwenzie majina yasio na stahaKuitwa "mtoto wa zinaa" na "kafiri" lipi linauma zaidi dear?
Mambo ya ajabu sana,Dini ni uchizi
Sasa mtoto ana kosa Gani mpaka asipewe urithi. 😁😁
Idiots
Umeona ulichotaka kuona (confirmation bias)Bahati mbaya familia nyingi nilizo karibu nazo watoto wa nje ndio wametokea kuwa na uelewa yaani kama mna vitega uchumi ndio wanatokea kuwa wasimamizi wazuri sana wa mali. Wa ndani ya ndoa wengi wanaangukia kwenye bangi na mambo mengine yasioleweka. Watoto wa nje ndio wengi nimeona wanaziokoa familia.
Mimi pia ni mtoto wa nje,lakini tangu nimemaliza la saba nikaondoka home kwenda kupambana. Hatimaye mimi ndio nimekuja kuwajengea home
Mwanzo 16:3 (BHN) - Kisha, Sarai akampa Abramu Hagari, | YouVersion Mwanzo 16:3 (BHN) - Kisha, Sarai akampa Abramu Hagari, | YouVersionAcha uongo kwa mujibu wa sheria ya dini ipi? Au ilikuwa ni ushauri wa Sarah?
Si ukubali tu kuwa Ishmaili ni mtoto haramu, ndio maana Hajri alipoanza kuleta jeuri kwa Sarah alitimuliwa
Haya maneno ya mwanamke mwenye wivuAsingefukuzwa.
Hata kama hakusema lakini alikuwa mtoto wa nje ndio maana alifukuzwa na Mungu aliidhinisha kufukuzwa kwake.
MWANZO 21
. 10. Basi, Sara akamwambia Abrahamu, “Mfukuzie mbali mjakazi huyu na mwanawe. Haiwezekani kabisa mtoto wa mjakazi kurithi pamoja na mwanangu Isaka.”
Kama alikua mtoto wake basi Ishmael ndiyo yule mwana wa pekee, maana wakati anazaliwa Ibrahim hakuwa na mtoto mwingine11. Jambo hili lilimhuzunisha sana Abrahamu kwa kuwa Ishmaeli pia alikuwa mtoto wake.
Ulikataa kwamba hajra hakuwa 'mtumwa' wa Ibrahim12. Lakini Mungu akamwambia Abrahamu, “Usihuzunike kwa sababu ya mtoto huyu, wala huyo mtumwa wako wa kike. Lolote akuambialo Sara lifanye; kwa kweli wazawa wako watatokana na Isaka
Mwanzo 16:3 (BHN) - Kisha, Sarai akampa Abramu Hagari, | YouVersion Mwanzo 16:3 (BHN) - Kisha, Sarai akampa Abramu Hagari, | YouVersionHapa kuna hoja zifuatazo;
1. Mungu hamtambui Hajiri kama Mke wa ibrahimu. Anamtambua Hajiri kama mtumwa wa kike wa Ibrahim
Kawaida wanawake kudharau wenzao katika Hali kama hiyo2. Sarah anamtambua Hajri kama kijakazi.
Msimuliaji yeye anasemaje?
Mwanzo 16:1-2Mwanzo 16:3 (BHN) - Kisha, Sarai akampa Abramu Hagari, | YouVersion Mwanzo 16:3 (BHN) - Kisha, Sarai akampa Abramu Hagari, | YouVersion
Unajua maana ya mke?..kama alikua mke Ishmael anakuaje mtoto wa haramu?
Sasa biblia inasema alikua mke,wewe unasema angekua mke asingefukuzwa,hivi hiyo ni hoja ya maana kweli!?..hujaona ndoa mume humsikiliza mke mmoja kuliko mwingine!?Asingefukuzwa.
Hata kama hakusema lakini alikuwa mtoto wa nje ndio maana alifukuzwa na Mungu aliidhinisha kufukuzwa kwake.
MWANZO 21
. 10. Basi, Sara akamwambia Abrahamu, “Mfukuzie mbali mjakazi huyu na mwanawe. Haiwezekani kabisa mtoto wa mjakazi kurithi pamoja na mwanangu Isaka.”
11. Jambo hili lilimhuzunisha sana Abrahamu kwa kuwa Ishmaeli pia alikuwa mtoto wake.
12. Lakini Mungu akamwambia Abrahamu, “Usihuzunike kwa sababu ya mtoto huyu, wala huyo mtumwa wako wa kike. Lolote akuambialo Sara lifanye; kwa kweli wazawa wako watatokana na Isaka
Hapa kuna hoja zifuatazo;
1. Mungu hamtambui Hajiri kama Mke wa ibrahimu. Anamtambua Hajiri kama mtumwa wa kike wa Ibrahim
2. Sarah anamtambua Hajri kama kijakazi.
Msimuliaji yeye anasemaje?
Endelea 16:3, mbona umeishia njianiMwanzo 16:1-2
[1]Basi Sarai mkewe Abramu hakumzalia mwana, naye alikuwa na mjakazi, Mmisri, jina lake Hajiri.
[2]Sarai akamwambia Abramu, Basi sasa, BWANA amenifunga tumbo nisizae, umwingilie mjakazi wangu labda nitapata uzao kwa yeye. Abramu akaisikiliza sauti ya Sarai.
Nimekuonyesha sababu za Abrahamu kulala na huyo mjakazi hakuwa mke, na kwa kiswahili chepesi ni Sarah ndiye aliyesababisha Abrahamu akalala na mtumwa wakeEndelea 16:3, mbona umeishia njiani
Mwanzo 16:3 (BHN) - Kisha, Sarai akampa Abramu Hagari, | YouVersion Mwanzo 16:3 (BHN) - Kisha, Sarai akampa Abramu Hagari, | YouVersionNimekuonyesha sababu za Abrahamu kulala na huyo mjakazi hakuwa mke, na kwa kiswahili chepesi ni Sarah ndiye aliyesababisha Abrahamu akalala na mtumwa wake
Sijasema hawakwenda huko nimesema hawakufukuzwaSasa kama Ishmail na Hajri hakufukuzwa aliyejenga Kaaba huko Makka ni Nani Mkuu?
Kwamba Ibrahim alizini?Nimekuonyesha sababu za Abrahamu kulala na huyo mjakazi hakuwa mke, na kwa kiswahili chepesi ni Sarah ndiye aliyesababisha Abrahamu akalala na mtumwa wake
Niendelee wakati hiyo aya imesema alikua mke,na ndiyo msingi wa mdahaloEndelea sura za chini.
NdioKwamba Ibrahim alizini?
Niendelee wakati hiyo aya imesema alikua mke,na ndiyo msingi wa mdahalo
Sijasema hawakwenda huko nimesema hawakufukuzwa
Mwanzo 16:3 (BHN) - Kisha, Sarai akampa Abramu Hagari, | YouVersion Mwanzo 16:3 (BHN) - Kisha, Sarai akampa Abramu Hagari, | YouVersion
Hakuwa mke kasema nani,wewe?!
Kwa hiyo ni mzinifu dah ila ukristo unawatukanisha Manabii vibayaNdio