"Mwana wa Zinaa" Kiislamu HANA URITHI, Wakristo ninyi vipi, mnawapa urithi?

Sasa biblia inasema alikua mke,wewe unasema angekua mke asingefukuzwa,hivi hiyo ni hoja ya maana kweli!?..hujaona ndoa mume humsikiliza mke mmoja kuliko mwingine!?
Tena ndani ya biblia Mungu anaahidi kuufanyia makubwa uzao wa Ishmael

Hakuna kitu kama hicho.
Inaonekana Unatatizo la Reading Skills.

Hiyo aya ya mwanzo 16 msimuliaji anasema Sara akampa Ibrahim Hajri ili awe mkewe. Huyo ni msimuliaji.

Lakini 21 ukiendelea utaona Sarah na Mungu hawamtambui Hajri kama mke wa Ibrahim
 

So na Mungu naye anawivu wa Hajri mpaka hamtambui Hajri kama Mke anamuita Mtumwa?

Maana kisa chote Mungu anamtambua Hajri kama Mtumwa na kijakazi.
Au nikuongezee AYA?
 

Proof ya kuzini? Sasa Ishmael sio proof ya uzinzi wao?

Hajri hajawahi kuwa Mke wa Ibrahim.
Ni kijakazi aliyelala na Boss wake.

Kama uislam ndio unatafsiri kwamba boss akilala na kijakazi wake akamzalisha anageuka mke basi hayo ni maajabu ya uislam.

Hajri hakuwa Mke wala Suria wa ubrahim na ndio maana alifukuzwa.
 
Uislam unasema alikuwa mke wake hivyo kwa upande wetu hakuzini
 
Hamna cha mtoto haramu hapo. Hiyo ni kesi ya maslahi tuu kama zamani mtoto wa kwanza au wa mwisho ndiye mrithi.

Mtoto ni mtoto.
Suala la urithi ni suala la Baba na mwenye MALI vile atakavyoona.

Pili sheria za wakati husika
Hiyo ni kwa mujibu wa dini yako
 
Tutatumia yote alafu tutaangalia mantiki. Yenye mashiko.
Maandiko yenyewe tumeyakuta. Tutaangalia mantiki kwenye hizo stori.

Hoja ya kusema Hajri alikuwa mke wa ibrahim inakosa mashiko kutokana na sababu nilizotoa huko juu
Nyinyi Wakristo zinaa sio issue kwenu na watoto wazina sio tatizo ndio maana mnaamini luti alizini na wanae fresh
 
Nyinyi Wakristo zinaa sio issue kwenu na watoto wazina sio tatizo ndio maana mnaamini luti alizini na wanae fresh

Wakristo sio Wanafiki.
Tofauti na Wafuata sheria huku wakificha ukweli.

Biblia imeandikwa kulingana na maisha halisi ya hao manabii ulitaka Wakristo wasemeje? Kwamba Lutu hakuzini na watoto wake.
Haya mataifa ya Wamoabu na Waamoni walitoka wapi kama sio zao la mabinti wa Lutu kulala na Baba zao?

Kuzini kwa Wakristo ni dhambi, lakini inasameheka ndio maana Yesu alikufa mslabani kwa watu wa aina hiyo. Ndicho wakristo wanaamini.

Ishmael kisheria ni mtoto haramu
Yesu ametoka kwenye ukoo wa zinaa(haramu)

Ulitaka watu wasiseme?

Ndio maana nyie Muhamad yakisemwa makosa yake mnachukia kana kwamba Muhamad alikuwa malaika sio
 
Isaka na Ishmael nani mtoto wa nje, mtoto wa zinaa?
 
Hakuna kitu kama hicho.
Inaonekana Unatatizo la Reading Skills.

Hiyo aya ya mwanzo 16 msimuliaji anasema Sara akampa Ibrahim Hajri ili awe mkewe. Huyo ni msimuliaji.

Lakini 21 ukiendelea utaona Sarah na Mungu hawamtambui Hajri kama mke wa Ibrahim
Msimuliaji anasimulia kwa misingi ipi?.. maana hata hiyo Mungu akasema mtumwa wako ...ni msimuliaji ndiyo anasema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…