Mwanachama humu amenikumbusha nilivyomfanyia jamaa mmoja aliyekuwa anajiona kafika kazini

Utakufa mhundu juu.
Muda unaharibu maisha ya mtoto wa wa mwenzio basi wako atafanyiwa unyama.

Upendo ni tunda la rohoni mtu akiwa na upendo amebarikiwa.
We umeshawahi kufa hivo mara ngapi? Ulijisikiaje?
 
Tunaomba radhi kwa wale wote watakaokwazika mwandishi ni mmoja wa wagonjwa katika hospital yetu ya crazy for life.

Ndugu Chizi Maarifa ,alifanikiwa kutoroka jana na kuiba simu ya ofisi

Tunashukuru kwa ushirikiano wenu na tunaahidi tutalishughulikia swala hili hivyo mvumilieni

Naambatanisha ushahidi wa vyeti alivyovipata kutoka hospital

 
Sijaona kosa la huyo dogo.
Kwa maelezo yako hakuwahi msnitch mtu, hakuwa mtu wa majungu bali alichapa kazi iliyomleta kazi ikaongea.
Sijui kwanini mlimfanyie unyama huo
Unyakyusa mwingi🤣🤣
 
Siku za ubaya wenu zinahesabika kama saa. Yani mtajutia uwovu wenu kwa kilio cha uchungu mkali
 
Yan wewe ni ms**%{€~ yaani unakuja kupost ujinga wa namna hii. Masikini wa akili mkubwa wewe. Ku/&🙂:$;&;&: zak>€|£|£{. Masikini mkubwa kumbafu
Shida nini adi utukane au wewe ndo Mashaka Gobwe
 
Mmmmmhhhhhhh
 
Bila shaka bandarini
 
Mkuu mbona kama unarusha jiwe gizani kwa mwandishi fulani hapa JF ambae umemlalamikia sana.
 
We african we don't have real love.

Yaan kweli unakuja humu kuandika madudu kama haya, hujui kua umeathili afya ya huyo jamaa,kiakili pia ume athiri familia yake na watu walio kuwa wana mtegemea kwa kipato alicho kuwa anapata.

Du mungu anakuona.

Makazini kweli kuna majungu na visilani hasa kwa rika ambalo linaelekea uzeeni.

Nili bahatika kupata nafasi ya kufanya field katika bandari flan kwenye office ya planning department.

Ile office nili enjoy sana kutokana na mkuu wa department alikua poa sana,yaan siku tu ya kuripoti offisin nlipata mapokez mazuri sana ambayo sikuyategemea na kutembezwa baadhi ya office.

Nlitembezwa ofisi ya procurement, accountants, weighbridge, sehemu ya parking za meli na port control.

Baada ya wiki iv bos akawa ananibadilisha ofice leo ofice hii kesho ofisi nyingine ili kujifunza na kujua mambo mengi.

Kumbe ile hali kuna badhi ya wafanya kazi hawa kuipenda wakawa wana mpiga majungu bosi wangu kuwa ameanza kuajiri vijana wenye elimu kubwa kuliko sisi.

Nikiwa naenda kwenye ofisi zao hawanipi ushirikiano,mwishowe bosi aliisikia iyo taarifa akasema nibaki tu kwenye ofisi yake adi nmalize field yangu.


Kwa hiyo majungu makazi hayalet maendelea bali yana tengeneza uadui wa milele nakupotezeana malengo ya maisha.

Majungu yana punguza ufanisi wa mtu kazin,koz ukiwa siliasi na kazi unaonekana unajiona sana.

Let's we be honestly to each other.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…