mike2k
JF-Expert Member
- May 12, 2016
- 1,571
- 3,448
Hii biashara ya kupendwa na boss na kujipendekeza kwa boss ni nuksi..ni laanaShida tu ni pale alipoamua ku deal na vilaza. Wenye vyeti fake hao mpaka leo mtaendelea kumzungumzia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii biashara ya kupendwa na boss na kujipendekeza kwa boss ni nuksi..ni laanaShida tu ni pale alipoamua ku deal na vilaza. Wenye vyeti fake hao mpaka leo mtaendelea kumzungumzia.
Huyu jamaa alifika kazini akawa anajiona yeye ndo yeye... Kazi anaipenda sana kuliko sisi wengine. Basi ikawa kila mfano mzuri boss anamsema yeye. Kila jambo jema mfano yeye...
Jamaa akaanza kupewa pewa safaris nyingi sana. Akawa anapewa bonus kila mara...yaani kiufupi jamaa alianza kupendeza. Akawa anapiga tie, mara suits, anachomekea na siku hizi mnaita Unyakyusa mwingi sana. Nikaliona hili nalo likafikiriwe. Nikawaita wadau kamati ya roho mbaya.
Tukakaa wenyeji...tukajadiliana kuwa huyu dogo mbona kama sisi wenyeji anakosa heshima kwetu. Kaja tunamwona hivi hivi...jamaa mmoja akasema anabonga naye. Akaenda mshtua dogo akajibu yeye si mtu wa majungu kaja kufanya kazi.
Tukarudishiwa taarifa. Basi jamaa mmoja akasema tumpatie pesa flani atashughulika naye. Akaenda Bagamoyo tu hapo. Wala si mbali.
Yule dogo akaanza kuwa kazini mara haji, akawa anagida sana pombe.anaweza akapotea siku mbili analewa analala bar. Akawa mkorofi kinyama kazini. Mpaka boss anamsemea mbovu. Anasema kwani hii nayo kazi? Basi tu ila yeye si wa kufanya kazi sehemu kama ile.
Tukamwekezea na majungu kinyama...akaharibu ile mbaya pale job. Wakamtimua. Aiseee tulifurahi sana. Tukampongeza fundi wetu kiungo mchezeshaji. Tukabaki wenyewe tu job kwa starehe zetu.
Hizi kazi umekuja umeikuta utaiacha. Usilete kujua saaaaana.watu tumekaa zanzibar, tumekaa tanga...tunajua kuishi na watu. Usitake jifanya we ndo unafaaanya sana kazi. Mwishowe kazi nayo itakufanya. Muwe mnaheshimu wakubwa. Tunaweza kukufanya kama tulivyomfanya Mashaka Gobwe.huyu hawezi kutusahau milele... Ishini na watu vizuri.....shauri zenu.
Duh unatisha mkuuHuyu jamaa alifika kazini akawa anajiona yeye ndo yeye... Kazi anaipenda sana kuliko sisi wengine. Basi ikawa kila mfano mzuri boss anamsema yeye. Kila jambo jema mfano yeye...
Jamaa akaanza kupewa pewa safaris nyingi sana. Akawa anapewa bonus kila mara...yaani kiufupi jamaa alianza kupendeza. Akawa anapiga tie, mara suits, anachomekea na siku hizi mnaita Unyakyusa mwingi sana. Nikaliona hili nalo likafikiriwe. Nikawaita wadau kamati ya roho mbaya.
Tukakaa wenyeji...tukajadiliana kuwa huyu dogo mbona kama sisi wenyeji anakosa heshima kwetu. Kaja tunamwona hivi hivi...jamaa mmoja akasema anabonga naye. Akaenda mshtua dogo akajibu yeye si mtu wa majungu kaja kufanya kazi.
Tukarudishiwa taarifa. Basi jamaa mmoja akasema tumpatie pesa flani atashughulika naye. Akaenda Bagamoyo tu hapo. Wala si mbali.
Yule dogo akaanza kuwa kazini mara haji, akawa anagida sana pombe.anaweza akapotea siku mbili analewa analala bar. Akawa mkorofi kinyama kazini. Mpaka boss anamsemea mbovu. Anasema kwani hii nayo kazi? Basi tu ila yeye si wa kufanya kazi sehemu kama ile.
Tukamwekezea na majungu kinyama...akaharibu ile mbaya pale job. Wakamtimua. Aiseee tulifurahi sana. Tukampongeza fundi wetu kiungo mchezeshaji. Tukabaki wenyewe tu job kwa starehe zetu.
Hizi kazi umekuja umeikuta utaiacha. Usilete kujua saaaaana.watu tumekaa zanzibar, tumekaa tanga...tunajua kuishi na watu. Usitake jifanya we ndo unafaaanya sana kazi. Mwishowe kazi nayo itakufanya. Muwe mnaheshimu wakubwa. Tunaweza kukufanya kama tulivyomfanya Mashaka Gobwe.huyu hawezi kutusahau milele... Ishini na watu vizuri.....shauri zenu.
na KINGINE mipango yake ya baadae alii weka hadharani sanaYule Rais alikosea kuwafukuza wenye vyeti fake/vilaza makazini. Hapo kwa kweli ndo alichukiwa sana.
Mmesha muaharibia dogo maisha yake kwa Ujumla, Sasa furaha yako ipo wapi?, mmesha mkwaza mazima, na pengine akageuka chizi, FURAHA YENU IPO WAPI.Huyu jamaa alifika kazini akawa anajiona yeye ndo yeye... Kazi anaipenda sana kuliko sisi wengine. Basi ikawa kila mfano mzuri boss anamsema yeye. Kila jambo jema mfano yeye...
Jamaa akaanza kupewa pewa safaris nyingi sana. Akawa anapewa bonus kila mara...yaani kiufupi jamaa alianza kupendeza. Akawa anapiga tie, mara suits, anachomekea na siku hizi mnaita Unyakyusa mwingi sana. Nikaliona hili nalo likafikiriwe. Nikawaita wadau kamati ya roho mbaya.
Tukakaa wenyeji...tukajadiliana kuwa huyu dogo mbona kama sisi wenyeji anakosa heshima kwetu. Kaja tunamwona hivi hivi...jamaa mmoja akasema anabonga naye. Akaenda mshtua dogo akajibu yeye si mtu wa majungu kaja kufanya kazi.
Tukarudishiwa taarifa. Basi jamaa mmoja akasema tumpatie pesa flani atashughulika naye. Akaenda Bagamoyo tu hapo. Wala si mbali.
Yule dogo akaanza kuwa kazini mara haji, akawa anagida sana pombe.anaweza akapotea siku mbili analewa analala bar. Akawa mkorofi kinyama kazini. Mpaka boss anamsemea mbovu. Anasema kwani hii nayo kazi? Basi tu ila yeye si wa kufanya kazi sehemu kama ile.
Tukamwekezea na majungu kinyama...akaharibu ile mbaya pale job. Wakamtimua. Aiseee tulifurahi sana. Tukampongeza fundi wetu kiungo mchezeshaji. Tukabaki wenyewe tu job kwa starehe zetu.
Hizi kazi umekuja umeikuta utaiacha. Usilete kujua saaaaana.watu tumekaa zanzibar, tumekaa tanga...tunajua kuishi na watu. Usitake jifanya we ndo unafaaanya sana kazi. Mwishowe kazi nayo itakufanya. Muwe mnaheshimu wakubwa. Tunaweza kukufanya kama tulivyomfanya Mashaka Gobwe.huyu hawezi kutusahau milele... Ishini na watu vizuri.....shauri zenu.
Ipo hapa.👆Mmesha muaharibia dogo maisha yake kwa Ujumla, Sasa furaha yako ipo wapi?, mmesha mkwaza mazima, na pengine akageuka chizi, FURAHA YENU IPO WAPI.
Kwa sababu wewe ni mk&;&;&; ku$:$:$/@@& zak:&&:&:😂Ama atakuwa yeye au mkewe. Nimeshangaa hata mimi why atukane hivi
Itoshe kusema Mungu anajua lililo sirini, kama halitarudi kwenu basi litarudi kwa vizazi vijavyo, tumtumainie Mungu zaidi.Huyu jamaa alifika kazini akawa anajiona yeye ndo yeye... Kazi anaipenda sana kuliko sisi wengine. Basi ikawa kila mfano mzuri boss anamsema yeye. Kila jambo jema mfano yeye...
Jamaa akaanza kupewa pewa safaris nyingi sana. Akawa anapewa bonus kila mara...yaani kiufupi jamaa alianza kupendeza. Akawa anapiga tie, mara suits, anachomekea na siku hizi mnaita Unyakyusa mwingi sana. Nikaliona hili nalo likafikiriwe. Nikawaita wadau kamati ya roho mbaya.
Tukakaa wenyeji...tukajadiliana kuwa huyu dogo mbona kama sisi wenyeji anakosa heshima kwetu. Kaja tunamwona hivi hivi...jamaa mmoja akasema anabonga naye. Akaenda mshtua dogo akajibu yeye si mtu wa majungu kaja kufanya kazi.
Tukarudishiwa taarifa. Basi jamaa mmoja akasema tumpatie pesa flani atashughulika naye. Akaenda Bagamoyo tu hapo. Wala si mbali.
Yule dogo akaanza kuwa kazini mara haji, akawa anagida sana pombe.anaweza akapotea siku mbili analewa analala bar. Akawa mkorofi kinyama kazini. Mpaka boss anamsemea mbovu. Anasema kwani hii nayo kazi? Basi tu ila yeye si wa kufanya kazi sehemu kama ile.
Tukamwekezea na majungu kinyama...akaharibu ile mbaya pale job. Wakamtimua. Aiseee tulifurahi sana. Tukampongeza fundi wetu kiungo mchezeshaji. Tukabaki wenyewe tu job kwa starehe zetu.
Hizi kazi umekuja umeikuta utaiacha. Usilete kujua saaaaana.watu tumekaa zanzibar, tumekaa tanga...tunajua kuishi na watu. Usitake jifanya we ndo unafaaanya sana kazi. Mwishowe kazi nayo itakufanya. Muwe mnaheshimu wakubwa. Tunaweza kukufanya kama tulivyomfanya Mashaka Gobwe.huyu hawezi kutusahau milele... Ishini na watu vizuri.....shauri zenu.
Duh hatari.Huyu jamaa alifika kazini akawa anajiona yeye ndo yeye... Kazi anaipenda sana kuliko sisi wengine. Basi ikawa kila mfano mzuri boss anamsema yeye. Kila jambo jema mfano yeye...
Jamaa akaanza kupewa pewa safaris nyingi sana. Akawa anapewa bonus kila mara...yaani kiufupi jamaa alianza kupendeza. Akawa anapiga tie, mara suits, anachomekea na siku hizi mnaita Unyakyusa mwingi sana. Nikaliona hili nalo likafikiriwe. Nikawaita wadau kamati ya roho mbaya.
Tukakaa wenyeji...tukajadiliana kuwa huyu dogo mbona kama sisi wenyeji anakosa heshima kwetu. Kaja tunamwona hivi hivi...jamaa mmoja akasema anabonga naye. Akaenda mshtua dogo akajibu yeye si mtu wa majungu kaja kufanya kazi.
Tukarudishiwa taarifa. Basi jamaa mmoja akasema tumpatie pesa flani atashughulika naye. Akaenda Bagamoyo tu hapo. Wala si mbali.
Yule dogo akaanza kuwa kazini mara haji, akawa anagida sana pombe.anaweza akapotea siku mbili analewa analala bar. Akawa mkorofi kinyama kazini. Mpaka boss anamsemea mbovu. Anasema kwani hii nayo kazi? Basi tu ila yeye si wa kufanya kazi sehemu kama ile.
Tukamwekezea na majungu kinyama...akaharibu ile mbaya pale job. Wakamtimua. Aiseee tulifurahi sana. Tukampongeza fundi wetu kiungo mchezeshaji. Tukabaki wenyewe tu job kwa starehe zetu.
Hizi kazi umekuja umeikuta utaiacha. Usilete kujua saaaaana.watu tumekaa zanzibar, tumekaa tanga...tunajua kuishi na watu. Usitake jifanya we ndo unafaaanya sana kazi. Mwishowe kazi nayo itakufanya. Muwe mnaheshimu wakubwa. Tunaweza kukufanya kama tulivyomfanya Mashaka Gobwe.huyu hawezi kutusahau milele... Ishini na watu vizuri.....shauri zenu.
Karma is real, devil is lir.Kuna Rais mmoja alijifanya nchi xa babake mnoko sana akafanyiwa zengwe akafa,wati tunaendelea kula nchi
Mleta Uzi ametukimbusha tu lakini hivi vitu vinafanyika.Haya uliyoandika ni kweli kabisa yanafanyika huko makazini.
Hii ya karma is real devil is lier. Haikutuma Europe.Karma is real