Mwanachama humu amenikumbusha nilivyomfanyia jamaa mmoja aliyekuwa anajiona kafika kazini

Huyu jamaa alifika kazini akawa anajiona yeye ndo yeye. Kazi anaipenda sana kuliko sisi wengine. Basi ikawa kila mfano mzuri boss anamsema yeye. Kila jambo jema mfano yeye.

Jamaa akaanza kupewa pewa safaris nyingi sana. Akawa anapewa bonus kila mara, yaani kiufupi jamaa alianza kupendeza. Akawa anapiga tie, mara suits, anachomekea na siku hizi mnaita Unyakyusa mwingi sana. Nikaliona hili nalo likafikiriwe. Nikawaita wadau kamati ya roho mbaya.

Tukakaa wenyeji, tukajadiliana kuwa huyu dogo mbona kama sisi wenyeji anakosa heshima kwetu. Kaja tunamwona hivi hivi, jamaa mmoja akasema anabonga naye. Akaenda mshtua dogo akajibu yeye si mtu wa majungu kaja kufanya kazi.

Tukarudishiwa taarifa. Basi jamaa mmoja akasema tumpatie pesa fulani atashughulika naye. Akaenda Bagamoyo tu hapo. Wala si mbali.

Yule dogo akaanza kuwa kazini mara haji, akawa anagida sana pombe, anaweza akapotea siku mbili analewa analala bar. Akawa mkorofi kinyama kazini. Mpaka boss anamsemea mbovu. Anasema kwani hii nayo kazi? Basi tu ila yeye si wa kufanya kazi sehemu kama ile.

Tukamwekezea na majungu kinyama, akaharibu ile mbaya pale job. Wakamtimua. Aiseee tulifurahi sana. Tukampongeza fundi wetu kiungo mchezeshaji. Tukabaki wenyewe tu job kwa starehe zetu.

Hizi kazi umekuja umeikuta utaiacha. Usilete kujua saaaaana.watu tumekaa Zanzibar, tumekaa Tanga... tunajua kuishi na watu. Usitake jifanya wewe ndio unafaaanya sana kazi. Mwishowe kazi nayo itakufanya. Muwe mnaheshimu wakubwa. Tunaweza kukufanya kama tulivyomfanya Mashaka Gobwe. Huyu hawezi kutusahau milele... Ishini na watu vizuri.....shauri zenu.
Karma is a bitch Leo ana m flirt huyu next its you
 
Kama huyo mtu alikuwa anatimiza wajibu wake hapo ofisini kwenu, Basi Nafikiri wewe na hao wenzio ndo wenye shida.
 
Sasa si ndo maana mliwekewa Mirembe? Huku huwezi pumzika hata kidogo. Tutakutibua mpaka urudishwe tena Mirembe. Umekunywa Dawa
Nyiee watu wa pemba nimewanyooshea mikono🙌🏼🤣 mtu anajiita chizi ntawezana nae wapi mimi
 
Mleta Uzi,acha ushrikina.....watz asilimia kubwa wanapenda Pesa ila ni wavivu sana wa kazi...ila majungu,fitina na umbea kama wewe ndiyo vitu mnapenda...kampuni nyingi zinakufa nchini kwasababu ya watu kama wewe.......hufai kabisa kwenye jamii
Kwa vile wanatumikia washirikina , huwa hawana maendeleo yoyote zaidi ya kutumika kuwatajirisha "mafundi".

Cha ajabu huwa wanakufa vifo asivyovitarajia.
 
Nyiee watu wa pemba nimewanyooshea mikono🙌🏼🤣 mtu anajiita chizi ntawezana nae wapi mimi
Yule Jamaa yenu ametupaka sana matope...sisi utajiri wetu wa majini?nimeumizwa sana. Ila hamna shida. Dogo ameanza kuota mapembe. Nasubiria aseme ambacho alifanywa na Mpemba Ami Ally Mahmoud
 
Huyu jamaa alifika kazini akawa anajiona yeye ndo yeye. Kazi anaipenda sana kuliko sisi wengine. Basi ikawa kila mfano mzuri boss anamsema yeye. Kila jambo jema mfano yeye.

Jamaa akaanza kupewa pewa safaris nyingi sana. Akawa anapewa bonus kila mara, yaani kiufupi jamaa alianza kupendeza. Akawa anapiga tie, mara suits, anachomekea na siku hizi mnaita Unyakyusa mwingi sana. Nikaliona hili nalo likafikiriwe. Nikawaita wadau kamati ya roho mbaya.

Tukakaa wenyeji, tukajadiliana kuwa huyu dogo mbona kama sisi wenyeji anakosa heshima kwetu. Kaja tunamwona hivi hivi, jamaa mmoja akasema anabonga naye. Akaenda mshtua dogo akajibu yeye si mtu wa majungu kaja kufanya kazi.

Tukarudishiwa taarifa. Basi jamaa mmoja akasema tumpatie pesa fulani atashughulika naye. Akaenda Bagamoyo tu hapo. Wala si mbali.

Yule dogo akaanza kuwa kazini mara haji, akawa anagida sana pombe, anaweza akapotea siku mbili analewa analala bar. Akawa mkorofi kinyama kazini. Mpaka boss anamsemea mbovu. Anasema kwani hii nayo kazi? Basi tu ila yeye si wa kufanya kazi sehemu kama ile.

Tukamwekezea na majungu kinyama, akaharibu ile mbaya pale job. Wakamtimua. Aiseee tulifurahi sana. Tukampongeza fundi wetu kiungo mchezeshaji. Tukabaki wenyewe tu job kwa starehe zetu.

Hizi kazi umekuja umeikuta utaiacha. Usilete kujua saaaaana.watu tumekaa Zanzibar, tumekaa Tanga... tunajua kuishi na watu. Usitake jifanya wewe ndio unafaaanya sana kazi. Mwishowe kazi nayo itakufanya. Muwe mnaheshimu wakubwa. Tunaweza kukufanya kama tulivyomfanya Mashaka Gobwe. Huyu hawezi kutusahau milele... Ishini na watu vizuri.....shauri zenu.
yaani watumwa wa mwajiri mnamroga mtumwa mwenzenu afukuzwe kazi. Huko aliko fikra za kitumwa zikimuondoka akaamua kuanzisha chake na akajua mlichomfanyia kisha ukaenda kuomba kazi kwa kampuni yake?
 
Chake alichoanzisha mpaka sasa ni kukamua tu mademu wa bei cheee... Mi hapo siwezi omba kazi. Sisi kazini hadi Maboss huwa tunaweza watimua kazi.
 
Huyu jamaa alifika kazini akawa anajiona yeye ndo yeye. Kazi anaipenda sana kuliko sisi wengine. Basi ikawa kila mfano mzuri boss anamsema yeye. Kila jambo jema mfano yeye.

Jamaa akaanza kupewa pewa safaris nyingi sana. Akawa anapewa bonus kila mara, yaani kiufupi jamaa alianza kupendeza. Akawa anapiga tie, mara suits, anachomekea na siku hizi mnaita Unyakyusa mwingi sana. Nikaliona hili nalo likafikiriwe. Nikawaita wadau kamati ya roho mbaya.

Tukakaa wenyeji, tukajadiliana kuwa huyu dogo mbona kama sisi wenyeji anakosa heshima kwetu. Kaja tunamwona hivi hivi, jamaa mmoja akasema anabonga naye. Akaenda mshtua dogo akajibu yeye si mtu wa majungu kaja kufanya kazi.

Tukarudishiwa taarifa. Basi jamaa mmoja akasema tumpatie pesa fulani atashughulika naye. Akaenda Bagamoyo tu hapo. Wala si mbali.

Yule dogo akaanza kuwa kazini mara haji, akawa anagida sana pombe, anaweza akapotea siku mbili analewa analala bar. Akawa mkorofi kinyama kazini. Mpaka boss anamsemea mbovu. Anasema kwani hii nayo kazi? Basi tu ila yeye si wa kufanya kazi sehemu kama ile.

Tukamwekezea na majungu kinyama, akaharibu ile mbaya pale job. Wakamtimua. Aiseee tulifurahi sana. Tukampongeza fundi wetu kiungo mchezeshaji. Tukabaki wenyewe tu job kwa starehe zetu.

Hizi kazi umekuja umeikuta utaiacha. Usilete kujua saaaaana.watu tumekaa Zanzibar, tumekaa Tanga... tunajua kuishi na watu. Usitake jifanya wewe ndio unafaaanya sana kazi. Mwishowe kazi nayo itakufanya. Muwe mnaheshimu wakubwa. Tunaweza kukufanya kama tulivyomfanya Mashaka Gobwe. Huyu hawezi kutusahau milele... Ishini na watu vizuri.....shauri zenu.
Kwa roho yako hiyo, mafanikio yako yatabaki kwenye keyboard ⌨ tu
 
Kwa vile wanatumikia washirikina , huwa hawana maendeleo yoyote zaidi ya kutumika kuwatajirisha "mafundi".

Cha ajabu huwa wanakufa vifo asivyovitarajia.
Hawawezi kuwa na maendeleo yoyote kwasababu hata akijikwaa tu bahati mbaya anakimbilia Kwa mganga badala ya kununua tofali...... yaani anakuwa mtumwa wa Mganga
 
Yule Jamaa yenu ametupaka sana matope...sisi utajiri wetu wa majini?nimeumizwa sana. Ila hamna shida. Dogo ameanza kuota mapembe. Nasubiria aseme ambacho alifanywa na Mpemba Ami Ally Mahmoud
Nikuletee nyuzi zako unazosema ulikua unawatengeneza watu kwa waganga? Au utazikana saizi. Mi nna majirani zangu wa pemba nnayoyaona siri yangu. Nimeishi zanzibar miaka mingi tu niliyojifunza nimenyoosha mikono. We kama sio mshirikina kwanini upanic? Kwani wenzio hawafanyi kweli?
 
Haya yapo.Mwaka 2014 nikiwa na boss wangu mpya kazi inachapwa vizuri Kila mara ninaitwa kupewa maelekezo nikayafanyie kazi.Kilichotokea siwezi sahau.Palikuwa na kakikundi kalikokuwa kanafaidika na boss Wa wazamani aisee iliwauma na walisema waziwazi kamati ya fitina na majungu hapa lazima tukae tumfanyie kazi huyu jamaa.Duh huo mfarakano uliotokea kati yangu na boss watu walishangaa na wengine wakifurahia.
 
Huyu jamaa alifika kazini akawa anajiona yeye ndo yeye. Kazi anaipenda sana kuliko sisi wengine. Basi ikawa kila mfano mzuri boss anamsema yeye. Kila jambo jema mfano yeye.

Jamaa akaanza kupewa pewa safaris nyingi sana. Akawa anapewa bonus kila mara, yaani kiufupi jamaa alianza kupendeza. Akawa anapiga tie, mara suits, anachomekea na siku hizi mnaita Unyakyusa mwingi sana. Nikaliona hili nalo likafikiriwe. Nikawaita wadau kamati ya roho mbaya.

Tukakaa wenyeji, tukajadiliana kuwa huyu dogo mbona kama sisi wenyeji anakosa heshima kwetu. Kaja tunamwona hivi hivi, jamaa mmoja akasema anabonga naye. Akaenda mshtua dogo akajibu yeye si mtu wa majungu kaja kufanya kazi.

Tukarudishiwa taarifa. Basi jamaa mmoja akasema tumpatie pesa fulani atashughulika naye. Akaenda Bagamoyo tu hapo. Wala si mbali.

Yule dogo akaanza kuwa kazini mara haji, akawa anagida sana pombe, anaweza akapotea siku mbili analewa analala bar. Akawa mkorofi kinyama kazini. Mpaka boss anamsemea mbovu. Anasema kwani hii nayo kazi? Basi tu ila yeye si wa kufanya kazi sehemu kama ile.

Tukamwekezea na majungu kinyama, akaharibu ile mbaya pale job. Wakamtimua. Aiseee tulifurahi sana. Tukampongeza fundi wetu kiungo mchezeshaji. Tukabaki wenyewe tu job kwa starehe zetu.

Hizi kazi umekuja umeikuta utaiacha. Usilete kujua saaaaana.watu tumekaa Zanzibar, tumekaa Tanga... tunajua kuishi na watu. Usitake jifanya wewe ndio unafaaanya sana kazi. Mwishowe kazi nayo itakufanya. Muwe mnaheshimu wakubwa. Tunaweza kukufanya kama tulivyomfanya Mashaka Gobwe. Huyu hawezi kutusahau milele... Ishini na watu vizuri.....shauri zenu.
Ndio maana Africa haiwezi kuendelea, yani kosa lake ilikuwa kupenda kazi sana.
 
Huyu kama umemshtukia ana wivu na chuki mbaya sana, inshort ana tatizo la kisaikolojia, ni mgonjwa wa akili...
Huyu mara zote stor zake hizi hua zinabuma na zikibuma hua anasusa muendelezo, kumbuka ile ya ziwani sjui kongo sjui, sasa umugaka naona amempa headache,,huyu ni kati ya watu ambao hua they cant stand mtu mwingine afanikiwe kwa lolote kuzid yeye, ndio mana unamuona anahangaika huku,
Aisee anahitaji maombi,maana si kwa uchungu huo
 
Back
Top Bottom