TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

Status
Not open for further replies.
Daah...basi alifaulu kunipumbaza. Yaani ule uandishi utafikiri mdada anaongea ayajuayo ya kitaani....hajamalizia na mxiuuu...😂😂

Kwa kweli..rest easy binamu.
 
Haahahhaahaha anamalizia na "mbwa wewe mxieeeew". Daah Warumi
Acha tu pale sanduku linapita namuambia binamu tutaonana baadae nakupenda sana...sikutegemea km itakua mapema hivi! Amehuzunisha sana bado kijana mdogo imebaki story,nimekaa mpk gari inaondoka daahh!rest easy warumi wetu!

Dada ake anasema atanichekesha nani Mimi!!kumbe binamu alikua mtu wa watu kuanzia nyumbani kwao!Mungu mpokee
 
Daah nimetamani na mimi ningepata nafasi ya kumuaga....

Sidhani kama ungeweza kukaa karibu na binamu afu usicheke. Mungu atupe neema ya kuishi miaka mingi, tukauone na uzee wetu[emoji120][emoji120]
 

Ila dada Amelia jamani mpaka siyo vizuri
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah! Kuna watu wako serious, mi nilidhani ni past time leisure tu kumbe ni kazi.
R.I.P 'Warumi' japo nimepigwa jab ya mbavu kali sana kujua eti ni 'mvulana'.
 
Watanzania tulivyo na mawazo finyu, limewekwa bandiko la msiba, halafu kuna watu wanakuja kushangaa kama alikuwa ni mwanaume na siyo mwanamke. Ifike sehemu tuache kufuatilia maisha ya watu wengine kwani taarifa tunazofuatilia nyingine hazina msaada wowote, zaidi ya kutupotezea muda. Na ukiwa na tabia hizi utafeli sehemu nyingi sana maishani mwako.
Kazi ya kuhukumu mwachieni Mungu, na mjifunze kuheshimu maisha ya watu wengine. Mnasikitisha sana.
 
Ila dada Amelia jamani mpaka siyo vizuri
Wanyaki wanajua kulia sana...!!uchungu mnooo!kufiwa na mdogo wako namuelewa!
Na kachanganyikiwa yule,ule msiba mzito sana!maana mpk katoto kale kamelia sana
Yule amebeba msalaba analia,nilivoona sanduku linaingia kwa gari machozi yamenitoka
Halafu ujue ukute tumeonana sema hatujuani daah!

Tangulia binamu ntakumis,ndo ulifanya nijiunge jf,sitamsahau picha yake nimeiangalia inasadifu ucheshi wake!
I have his picture naangalia then nacheka ule umbea wa PM!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…