Daah...basi alifaulu kunipumbaza. Yaani ule uandishi utafikiri mdada anaongea ayajuayo ya kitaani....hajamalizia na mxiuuu...😂😂Mimi binafsi since day one nilikuwa nafahamu ni ME; na hata kwenye nyuzi zake binfasi za kumuhusu yeye; alisema yeye ni ME. Baadaye wakati ameshaukwaa ufalme wa umbea; akawa anapata attacks nyingi kwamba ni mwanaume gani anapenda umbea hivyo, atakuwa KE tu au shoga; attacks zilipozidi akaona isiwe kesi basi yeye ni she-male; character aliyoenda nayo mpaka mwishoView attachment 1911240
Kwa kweli..rest easy binamu.