TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

Status
Not open for further replies.
Mimi binafsi since day one nilikuwa nafahamu ni ME; na hata kwenye nyuzi zake binfasi za kumuhusu yeye; alisema yeye ni ME. Baadaye wakati ameshaukwaa ufalme wa umbea; akawa anapata attacks nyingi kwamba ni mwanaume gani anapenda umbea hivyo, atakuwa KE tu au shoga; attacks zilipozidi akaona isiwe kesi basi yeye ni she-male; character aliyoenda nayo mpaka mwishoView attachment 1911240
Daah...basi alifaulu kunipumbaza. Yaani ule uandishi utafikiri mdada anaongea ayajuayo ya kitaani....hajamalizia na mxiuuu...😂😂

Kwa kweli..rest easy binamu.
 
Haahahhaahaha anamalizia na "mbwa wewe mxieeeew". Daah Warumi
Acha tu pale sanduku linapita namuambia binamu tutaonana baadae nakupenda sana...sikutegemea km itakua mapema hivi! Amehuzunisha sana bado kijana mdogo imebaki story,nimekaa mpk gari inaondoka daahh!rest easy warumi wetu!

Dada ake anasema atanichekesha nani Mimi!!kumbe binamu alikua mtu wa watu kuanzia nyumbani kwao!Mungu mpokee
 
Daah nimetamani na mimi ningepata nafasi ya kumuaga....

Sidhani kama ungeweza kukaa karibu na binamu afu usicheke. Mungu atupe neema ya kuishi miaka mingi, tukauone na uzee wetu[emoji120][emoji120]
Acha tu pale sanduku linapita namuambia binamu tutaonana baadae nakupenda sana...sikutegemea km itakua mapema hivi! Amehuzunisha sana bado kijana mdogo imebaki story,nimekaa mpk gari inaondoka daahh!rest easy warumi wetu!

Dada ake anasema atanichekesha nani Mimi!!kumbe binamu alikua mtu wa watu kuanzia nyumbani kwao!Mungu mpokee
 
Acha tu pale sanduku linapita namuambia binamu tutaonana baadae nakupenda sana...sikutegemea km itakua mapema hivi! Amehuzunisha sana bado kijana mdogo imebaki story,nimekaa mpk gari inaondoka daahh!rest easy warumi wetu!

Dada ake anasema atanichekesha nani Mimi!!kumbe binamu alikua mtu wa watu kuanzia nyumbani kwao!Mungu mpokee

Ila dada Amelia jamani mpaka siyo vizuri
 
Kuna siku alimind akasusa kutoa ubuyu, analalamika anahangaika kupata umbea anaenda hadi mbali kwa garama zake kutafuta umbea analeta halafu tunakuja kumuita muongo, ameenda hadi nyumbani kwa wema kuwachungulia wema na diamond dirishani afu tunamuita muongo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah! Kuna watu wako serious, mi nilidhani ni past time leisure tu kumbe ni kazi.
R.I.P 'Warumi' japo nimepigwa jab ya mbavu kali sana kujua eti ni 'mvulana'.
 
Watanzania tulivyo na mawazo finyu, limewekwa bandiko la msiba, halafu kuna watu wanakuja kushangaa kama alikuwa ni mwanaume na siyo mwanamke. Ifike sehemu tuache kufuatilia maisha ya watu wengine kwani taarifa tunazofuatilia nyingine hazina msaada wowote, zaidi ya kutupotezea muda. Na ukiwa na tabia hizi utafeli sehemu nyingi sana maishani mwako.
Kazi ya kuhukumu mwachieni Mungu, na mjifunze kuheshimu maisha ya watu wengine. Mnasikitisha sana.
 
Ila dada Amelia jamani mpaka siyo vizuri
Wanyaki wanajua kulia sana...!!uchungu mnooo!kufiwa na mdogo wako namuelewa!
Na kachanganyikiwa yule,ule msiba mzito sana!maana mpk katoto kale kamelia sana
Yule amebeba msalaba analia,nilivoona sanduku linaingia kwa gari machozi yamenitoka
Halafu ujue ukute tumeonana sema hatujuani daah!

Tangulia binamu ntakumis,ndo ulifanya nijiunge jf,sitamsahau picha yake nimeiangalia inasadifu ucheshi wake!
I have his picture naangalia then nacheka ule umbea wa PM!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom