TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

Status
Not open for further replies.
Na kweli ule umbeya woote kule hakutia neno kiasi ikawa inatushangaza kumbe alikuwa anapigania afya yake........pole Sana kwa familia halisi na familia ya jf hususani wanaubuyu
Yaani kiukweli tuwe na tendency ya kujuliana hali maana mtu anakufa wengine hatujui...ya rraabbi!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
My dear kama umechafukwa na roho sio wote..ni ww

2 Corinthians 1:12
Kwa maana kujisifu kwangu ni huku, ushuhuda wa dhamiri yetu, ya kwamba kwa utakatifu na weupe wa moyo utokao kwa Mungu; si kwa hekima ya mwili, bali kwa neema ya Mungu;
Sijachafukwa na roho ila kila jambo na muktadha wake na mahali pake, maandiko yenyewe yasema lieni na wanaolia
 
Apumzike kwa amani ndugu yetu.
Sina kumbukumbu kama aliwahi kututonya kuwa anaumwa.
Natambua ugonjwa ni privacy ila yawezekana angesema, JF ni familia kubwa, kuna madaktri na wenye moyo wa kutoa. Labda tunge refusha maisha yake japo kwa muda mfupi.
RIP warumi
Kwa unafiki uliomo humu,, hata niumwe vipi siwezi kuja humu kuomba msaada, kwa jinsi alivyokuwa anatambulika humu na vile vichambo vyake, angeleta habari za kuumwa kwake angekufa kabla ya Jana
Ni wachache sana wenye utu humu
 
Kuna Wema pia,ingawa wapo wangefanya ndo fimbo kumhukumu pia siku kapona

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Kuna Wema pia,ingawa wapo wangefanya ndo fimbo kumhukumu pia siku kapona

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Wema wapo ila ni wachache mno, katika 10 waweza kupata wawili au mmoja, humu jf, kwani thread za kuomba misaada zipo ngapi? Kasome maoni ya wadau, nachoelewa Ni km mtu hujaamini ombi lake heri ukalipuuza tu sio kudhihaki, kukashfu na kukufuru na hizo ndo tabia zilizotamalaki humu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom