Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah nimekutana na hii ajali mida ya saa nane pale victoria inasikiyisha sana
R.I.P Doto
I know the guy nilikuwa nikimsikia redo Ushindi Mbeya akiwa Ripota wa Kurunzi la Habari,RIP DottoHABARI
NIMEPOKEA TAARIFA ZA KUSHTUA NA ZENYE SIMANZI AMBAYO KUFUTIKA KWAKE KICHWANI HAKUTAISHA KAMWE
TUMEMPOTEZA KIPENZI CHETU MWENZETU RAFIKI YETU Dotto Mnzava INAUMA SANA YANI HATA MPAKA SASA
SIAMINI KWELI DOTTO AMETUTOKA HIVI; NASHINDWA HATA KUANDIKA HAPA
AMEFARIKI MAENEO YA VICTORIA KWA AJALI YA PIKIPIKI, TAARIFA KAMILI TUTAZIPATA KUTOKA KWA NDUGU ZAKE NA WALE WALIOKARI NAYE
MUNGU AWAPE FARAJA NA KUWAPA NGUVU FAMIILIA ALIYOIACHA, NDUGU PAMOJA NA
UONGOZI WOTE WA JAMIIFORUM
BWANA AMETOA NAYE AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE
![]()
![]()
Soo sad R.I.P Dotto! Inauma sana hakika Rafiki umeondoka mapema....Ajali ilikua mbaya.
Yeye ni mwandishi wa habari, alikua anaenda kwenye press maeneo ya Posta.
Kutokana na foleni za Dar ikabidi achukue boda boda.
Walichomekewa wakaanguka. Yeye alianguka barabarani gari ikampitia kichwani.