TANZIA Mwanachama na mfanyakazi wa JamiiForums, Dotto Mnzava afariki dunia kwa ajali ya pikipiki

TANZIA Mwanachama na mfanyakazi wa JamiiForums, Dotto Mnzava afariki dunia kwa ajali ya pikipiki

Status
Not open for further replies.
Inna Lilah Wainna Ilayhi Raajiuun.

Hili ni pigo kubwa sana hasa jukwaa hili la Habari na Hoja mchanganyiko.

Alikuwa analeta sana taarifa jukwa hili na taarifa nyingi zikitokea Fikra Pevu.

Hii ni safari ya wote na hapa tukae tukijua fika na sisi tuliobaki, siku yoyote tunauacha huu ulimwengu, pumzi zisitudanganye na kujiona tuna uwezo mkubwa zaidi ya Mwenyezi Mungu.

Tujifunze kupitia msiba huu wa Ndugu yetu, maisha ni mapito tu
 
Aiseeh poleni wafiwa. Kaondoka akiwa bado kijana
 
ALLAHUMMAGH FIR LAHU WAR HAMHU WASKINHU FIL JANNa
 
Very Sad News. R.I.P Dotto Mzava.

Poleni sana mliondokewa na mpenzi wenu.
 
Mungu amlaze pema peponi,ni njia yetu sote tuzidi kuombeana tu.
 
Ni kweli Dotto hatunae. Nilipita wakati ajali inatokea ila sikujua ni nani na nilishtushwa kuwa yule alikuwa ni Dotto Mnzava. Nimeenda mortuary na nimemkuta Dotto amefariki. Inauma sana.
R.I.P Dotto
 
HABARI

NIMEPOKEA TAARIFA ZA KUSHTUA NA ZENYE SIMANZI AMBAYO KUFUTIKA KWAKE KICHWANI HAKUTAISHA KAMWE
TUMEMPOTEZA KIPENZI CHETU MWENZETU RAFIKI YETU Dotto Mnzava INAUMA SANA YANI HATA MPAKA SASA
SIAMINI KWELI DOTTO AMETUTOKA HIVI; NASHINDWA HATA KUANDIKA HAPA
AMEFARIKI MAENEO YA VICTORIA KWA AJALI YA PIKIPIKI, TAARIFA KAMILI TUTAZIPATA KUTOKA KWA NDUGU ZAKE NA WALE WALIOKARI NAYE


MUNGU AWAPE FARAJA NA KUWAPA NGUVU FAMIILIA ALIYOIACHA, NDUGU PAMOJA NA
UONGOZI WOTE WA JAMIIFORUM

BWANA AMETOA NAYE AMETWAA JINA LAKE LIHIMIDIWE




attachment.php



attachment.php
I know the guy nilikuwa nikimsikia redo Ushindi Mbeya akiwa Ripota wa Kurunzi la Habari,RIP Dotto
 
Ajali ilikua mbaya.

Yeye ni mwandishi wa habari, alikua anaenda kwenye press maeneo ya Posta.

Kutokana na foleni za Dar ikabidi achukue boda boda.

Walichomekewa wakaanguka. Yeye alianguka barabarani gari ikampitia kichwani.
Soo sad R.I.P Dotto! Inauma sana hakika Rafiki umeondoka mapema....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom