Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Tupo kwenye msiba najitahidi kuwa serious niendane na mazingira we unaleta matani kunichekeshaNa Barbara nae hatapost?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupo kwenye msiba najitahidi kuwa serious niendane na mazingira we unaleta matani kunichekeshaNa Barbara nae hatapost?
Multiple organ failure itakuwa imemuondoa binti mbichi kabisa huyu, prolong use of ARV ziliathiri figo kwa kiasi kikubwa.nilivyoelewaametua ARVs kwa miaka 17
akimaanisha kuzaliwa kuwa ukimwi amezariwa nao
THE 100Rest well mdada...your fight is over
Kwahiyo 2021 alikuwa na miaka 17, ghafla leo ana miaka 32?!
Ninachoshangaa mkuu ni kujuana mpaka ID mnayotumia.Tunafahamiana na baadhi ya watu nje ya Jf mkuu.
Cha msingi ni kujua unafahamiana na mtu Kwa sababu zipi.
kwakeli katika maisha yangu yote DUNIANI nimetumia CONDOM mara 10 tuMultiple organ failure itakuwa imemuondoa binti mbichi kabisa huyu, prolong use of ARV ziliathiri figo kwa kiasi kikubwa.
All in All nikikumbuka nilivyoponea kuambukizwa HIV na memba mmoja wapo humu ndani nikaponea chuchupu hadi sasa sitaki tena kuzamia PM za watu humu ndani (Hiki ni kisa nitakileta kwenu siku yoyote nikipata nafasi) mfahamu ni kwa jinsi gani baadhi ya watu hufanya makusudi kuambukiza watu wengine.
All in all Ukimwi upo na unaua chukua tahadhari.
Ili ikusaidie nini hiyo miaka?Either ana miaka 32 au miaka 17, iwekwe sawa
Nenda Angaza mkuu wacha kujipa pressure kijinga kijinga!Basi tu mkuu, yaani ndio hivyo tena hata sielewi...🙄
Mungu akurehemu!Mkuu, mbona friji lako haligandishi...🙄🙄
Pls jibu pm.yangu bna pls nina shida na wewe niko jirani yako hapaHalafu wewe!!...btw pole kwa msiba
Tumepokea kwa masikito makubwa taarifa za kifo cha mwenzetu jikeshupa ambaye alikuwa mwanachama wa JF Tunatoa Poleni nyingi kwa Familia yake pamoja na marafiki zake na ndugu na Jamaa ambayo wameguswa na huu msiba. jikeshupa amefariki asubuhi ya leo katika Hospital ya Kcmc Mkoani Kilimanjaro alipokuwa anapata matibabu . Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwao Unga LTD Arusha. Mungu ampe pumziko la milele
Ni mmojawapo kati ya post zake hakuogopa kusema ukweli.
View attachment 2105741
Pole kwa ukoo mzimaTumepokea kwa masikito makubwa taarifa za kifo cha mwenzetu jikeshupa ambaye alikuwa mwanachama wa JF Tunatoa Poleni nyingi kwa Familia yake pamoja na marafiki zake na ndugu na Jamaa ambayo wameguswa na huu msiba. jikeshupa amefariki asubuhi ya leo katika Hospital ya Kcmc Mkoani Kilimanjaro alipokuwa anapata matibabu . Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwao Unga LTD Arusha. Mungu ampe pumziko la milele
Ni mmojawapo kati ya post zake hakuogopa kusema ukweli.
View attachment 2105741