TANZIA Mwanachama wa JamiiForums - Jikeshupa amefariki dunia

TANZIA Mwanachama wa JamiiForums - Jikeshupa amefariki dunia

Apumzike panapo mstahiki, bwana ametoa, bwana ametwaa jina lake lihimidiwe
 
Poleni sana wafiwa.
R.I.P Jessy.
Gone to young.
 
Watu wanajuana huku na wanakula na poa tuu
Na ndio maana kuna jamaa analia sasa hivi kwamba alifakamia mwenye ngoma! Bora aende tu akapime asijekufa na pressure bure!
 
Nani anisaidie kutoa pole kwa lugha ya kiislamu
Napendaga sana kutumia hilo neno ila kuliandika ndio sijui...
Much love
 
Back
Top Bottom