Ambivert88
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 3,609
- 6,388
Kuna wenzio watasema alikua amerogwaInaweza kuwa moja ya sababu lkn Sababu nyingine zinaweza kuwa:
Msongo wa mawazo
Uchovu mkubwa
Matumizi ya dawa fulani
Matatizo ya mfumo wa neva
Historia ya familia ya kurithi
SawasawaYeah ni jina la "KE" ila akitangulia kuzaliwa "ME" anapewa jina hilo hilo la KULWA. 🤝
Ok mkuuSikatai kabisa, kama unavyojua kiswahili imekuwa changamoto kwa baadhi ya watu
"R na L" zinasumbua sana.
Ooh Asante sana nduguKiswahili sanifu ni 👇👇
1. kujigaragaza ✅
2. Anaroga ✅
🫡Maisha ni kuyachukulia simple tu, hata upoteze vyote, ukiwa na uzima inatosha.
Maisha ni kuyachukulia simple tu, hata upoteze vyote, ukiwa na uzima inatosha.
Umeanza vizuri mpaka nimehuzunika, ila huku mwishoni Mfano wako sasa haha!Kweli amtegemeae mwanadamu amelaaniwa, ukute huyu nae familia ilikuwa inamtegemea kwamba atakuja kuwa mkombozi baada ya kufika chuo kikuu...pasi kujua mwendo wake ni mfupi kama chupi, hata magotini haifiki.
Hata msibani katikati ya huzuni tunaweka kautani kidogo, wafiwa wacheke kidogo, maana kifo ni part and parcel of life. Tunakiogopa tu bila sababu za msingi. Jamii zinazofanya sherehe kwenye msiba zipo very realistic. Haijalishi umekufaje.Umeanza vizuri mpaka nimehuzunika, ila huku mwishoni Mfano wako sasa haha!
Apumzike kwa Amani.
DAH !!! Kama ni mahusiano hiyo ni ujinga. Anyway r.i.pView attachment 3174889
Mwanafunzi wa Diploma anaefahamika kwa jina la KURWA katika Chuo cha DIT amefariki baada ya kuanguka kutoka ghorofa ya 10 (jengo linaitwa teaching tower TT)
Bado hakuna taarifa ya uhakika ya kuhitimisha kikamilifu chanzo cha kuanguka aidha kajirusha, kasukumwa, ajali, n.k.
chanzo >> mwanachuofamily Insta page
DAH !!! Kama ni mahusiano hiyo ni ujinga. Anyway r.i.p
Comrade Pumzika Kwa Amani
Wivu wa mapenziUkifuatilia kisa utaambiwa ni mahusiano.
YING and YANGAchana kufahamiana na mtu, tumia kamusi kuangalia hayo maneno yana maana ipi.. ✍️ ✍️
Kulwa ✅
Kurwa ❌
👇👇👇👇
View attachment 3175227
Mkuu unamfahamu huyo kijana?Wivu wa mapenzi
YING YANG TWINS.YING and YANG