Katkit
JF-Expert Member
- Mar 12, 2023
- 1,893
- 4,641
Wengine wanasema YAHAYA ni dongo kwa Ruge(RIP), ila Gadner alipewa ile NDI NDI NDI.Yahaya sio G. Shabash zwenge ndaba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengine wanasema YAHAYA ni dongo kwa Ruge(RIP), ila Gadner alipewa ile NDI NDI NDI.Yahaya sio G. Shabash zwenge ndaba
Bifu lao lilikua ni effect ya bifu la jide na clouds fmIlikuwaje mpaka yeye ndiyo akaimbwa Yahaya? Alikuwa na bifu gani na Jide?
Nakumbuka 2004 naenda makumbisho ya taifa nikiwa F4 yeye FA alikuwa tayari yupo IFM maana tulikutana nae maeneo hayo na kupiga nae storyYes Apo kina Fa tayari walikua wameshagraduate mida
Labda ulikua bado mdogo,sio kweli,kipindi icho kulikua na bifu Kat ya jide na ruge,na Kati kina sugu na na ruge.jide alikua na show ,na mwana fa alikua atumbuize,ghafla akaamua kua upande wa ruge na yeye akatangaza show yake siku hiyo hiyo ya show ya jide.bifu likaanzia apo.na huo wimbo ukaja kutoka.ule wa ndi ndi ndio ilikua dis kwa gadnerIle ni diss track ya Gadner wala sio FA,
FA aliishi Kijitonyama enzi na enzi leo Jide aulize anaishi wapi!
Na gadner alikua mume wake ndio aulize anaishi wapi.Ile ni diss track ya Gadner wala sio FA,
FA aliishi Kijitonyama enzi na enzi leo Jide aulize anaishi wapi!
Kama mtu humjui uwe unakaa kimya. Fwala weweMwana FA hajawahi kuvuta Bangi.
Kama mtu humjui uwe unakaa kimya. Fwala wewe
Ma brother men kwa kutafuta sifa,wanaoshinda masaki ,wanalala tandikaKina GK na ECT nzima walikuwa na akili nyingi nje ya muziki huku wakiona mbali zaidi. Hakukuwa na mjinga kwenye kile kikundi tofauti na vijana wa TMK waliokuwa na usela mavi kama wa machalii wa R... TMK walikuwa na vipaji vya hali ya juu ila nje ya vipaji ilikuwa bangi tupu. Elimu ni muhimu sana haijalishi unafanya nini.. muhimu ni uwe nayo kwanza.
Mzee acha ujinga fa ana master Tena alienda kusoma uk na degree kasomea ifm hapoNi upepo wa ukanda tuu unambeba ila mwamba mweupe sana, ukanda huo elimu zao za kuunga unga sana , wanaokoteleza tuu yyte anayeelekea elekea
DC wa hovyo kabisa weweKama mtu humjui uwe unakaa kimya. Fwala wewe
IFM alisoma Diploma, acha ujuaji weweMzee acha ujinga fa ana master Tena alienda kusoma uk na degree kasomea ifm hapo
Angalia CV yake hapa, hakuna digrii popoteMzee acha ujinga fa ana master Tena alienda kusoma uk na degree kasomea ifm hapo
Hivi unajua ninavyokumisi lakini?Mbona yeye ameoa mapema tu?
Kwahiyo "Masters" sio digrii?Angalia CV yake hapa, hakuna digrii popote
Parliament of Tanzania
www.parliament.go.tz
Elewa mada kijana, FA hakusoma digrii pale IFM. Umekula maharage ya wapi weweKwahiyo "Masters" sio digrii?