MwanaFA anatufundisha nini?

MwanaFA anatufundisha nini?

Alisoma advance diploma,kipindi icho ifm bado walikua hawatoi degree,kwa advance diploma ni sawa tu na degree,ndio maana aliweza kuchukua masters
Acha ujuaji, alisoma diploma. Hiyo Masters ni ya kuunga unga tu huko nje ya nchi
 
Watoto wa juzi hawajui Advanced Diploma ilikuwa equivalent na degree....

Na hawajui vyuo vilivyokuwa vinatoa Advanced Diploma hivi sasa vinatoa digrii kwa elimu ileile
Wewe zombie unashindwa kujua tofauti ya diploma na advanced diploma?
 
Watoto wa juzi hawajui Advanced Diploma ilikuwa equivalent na degree....

Na hawajui vyuo vilivyokuwa vinatoa Advanced Diploma hivi sasa vinatoa digrii kwa elimu ileile
Kwa mfumo wa IFM unaweza kusoma Certificate na kurukia Advanced diploma? Pitia hapa kwenye tovuti ya bunge ujione jinsi ulivyo ndezi Parliament of Tanzania
 
Marehemu MASABURI alikuwa sahihi, hivi umeshindwa hata kutembelea hapa na kujiona ulivyo fwala
Juha wewe,tuulize sisi tulisoma ifm,hakuna diploma ya miaka mitatu,hiyo ni advance diploma ambayo Inna sifa sawa na degree,ndio maana ukiwa na hiyo Ina unaweza soma master ,maana inatambulika Kama degree ya kwanza,angewezaje kupata ya pili Kama ya kwanza Hana?jiongeze mwehu wewe
 
Najuta kupoteza muda wangu kubishana na shoga.

Kwaheri na kila la kheri kwenye kazi yako
Vijana wa mziki mna taabu sana, tangu ushoga uingie huko imekuwa balaa

CV ya boss wenu hiyo
CV MwanaFA.PNG
 
Mwana FA hajawahi kuvuta Bangi.
Kuna dogo anavuta bangi Ila mtu akiambiwa huyu dogo anavuta bangi atakataa maana hana sura ya bangi, na sio tu kwamba dogo anavuta ilifika hatua alikua anaifurahia bangi hadi akawa supplier wa bangi na connector wa wanaotafuta bangi kwa mapusha, hakuishia hapo dogo alifikia hatua mbaya ya kuanza kujifunza jinsi ya kutengeneza keki za bangi, biscut za bangi, nk ili TU aanze kuendelea na biashara hio nnavyokwambia dogo anamaliza mwaka huu Chuo, aliulizwa suala la Ajira akajibu kimkato Ila ninajua dogo ameingia rasmi kwenye biashara ya kuuza bangi

Dogo ukimuona humdhanii hata kidogo Ila ni mvuta bangi mmoja hatari,
 
Sawa polisi wanawajua wavuta bangi hata kama wewe raia haujui.

Mvuta bangi anaonekana waziwazi kwa wataalam wa utambuzi.

Mvuta bangi hata asipoonyesha lips zitamuumbua.

Wavuta bang wanakuwa na mood swing kama period kwa Ke.
 
Kuna dogo anavuta bangi Ila mtu akiambiwa huyu dogo anavuta bangi atakataa maana hana sura ya bangi, na sio tu kwamba dogo anavuta ilifika hatua alikua anaifurahia bangi hadi akawa supplier wa bangi na connector wa wanaotafuta bangi kwa mapusha, hakuishia hapo dogo alifikia hatua mbaya ya kuanza kujifunza jinsi ya kutengeneza keki za bangi, biscut za bangi, nk ili TU aanze kuendelea na biashara hio nnavyokwambia dogo anamaliza mwaka huu Chuo, aliulizwa suala la Ajira akajibu kimkato Ila ninajua dogo ameingia rasmi kwenye biashara ya kuuza bangi

Dogo ukimuona humdhanii hata kidogo Ila ni mvuta bangi mmoja hatari,
Wakati nasoma sekondari shule za day kamji ketu kalikuwa kadogo hvyo wanafunz wa shule mbali mbali tulikuwa tunakutana sana kwenye vituo vya tuition hata mitaan

Kuna madogo walikuwa wanavuta bangi kwanza wako smart nyumbani maisha safi na wapole na kitabu kinatembea,kwanza ukimuona unatamani life lake afu marafiki wachache tu ndo anakuwa nao na wakiamua kupiga kitabu anaweza kujisomea masomo yote kwa siku moja

Hao madogo walinifanya nitamani kuvuta bangi ila sikuwah ingawaje watu wengi wakiwemo walimu na baadhi ya wavuta bangi walikuwa wanahis hata mimi huwa navuta

Na hawa madogo bangi smart pia walikuwa wananyota ya kupendwa sana na mademu ingawaje walikuwa maselective sana,hawali kila demu
 
Watoto wa juzi hawajui Advanced Diploma ilikuwa equivalent na degree....

Na hawajui vyuo vilivyokuwa vinatoa Advanced Diploma hivi sasa vinatoa digrii kwa elimu ileile
Mzizi wa fitna kwenye hili suala ni kwamba aliwezaje kupata advance diploma au degree ikiwa hakusoma certificate Wala diploma.

Yote hii ni baada ya mwamba kuua six akapata advance diploma au degree.Uchawi ndio unaanzia hapa bila kufahamu miaka hiyo Kuna sheria kupitia TCU ilikuwa inatoa mwanya Kwa waliomaliza six kuendelea kupata advance diploma au degree
 
Attachments

  • Screenshot_20230228-193921.png
    Screenshot_20230228-193921.png
    115.4 KB · Views: 9
Back
Top Bottom