MwanaFA azomewa na wananchi baada ya kuanza kusifia Awamu ya 6 kwenye Tamasha la miaka 30 ya Bongo Fleva

Da nchi hii tulipo fika pabaya tuone tulikosea wapi tukae tusahihishe makosa yetu naona hatari kubwa iliyoko mbele yetu

Hatari ya nn wakaandamane tena na kufanya matukio kama yale waone kama Shaba hazikutumika👈

Wataelewa tu niwao ndio wamezingua💥👈
 
Mwana FA ametamka Serikali ya awamu ya 6, watu wametaka kumshusha kwenye stejii... Ni katika tamasha la miaka 30 ya muziki wa Bongo Flava

Muongo ww 👈

Midada yenyewe imeshalewa wahuni wahuni tu

Mijitu km ile yanini kuongea nao unapoteza muda tu. Ndiomana kaachana nao walevi wale👈
 
ni ruksa kujipa moyo

ila ikijengwa na akatoka madarakani inabomolewa na nchimbi
 
Watu hawataki kusikia serikali ya awamu ya sita na sio siasa,

Ukisema tu mambo ya serikali ya awamu ya sita, watu wanatoka na mapanga 😄

Watu gani ndio wale walevi 🤣

wale wapo hoi kwa pombe ❗️
Mapopo tu
Ya mjini
Siku Arena ikifnguliwa yenyewe ayo ndio yatajaaa na kumsifia Rais Samia💪

sisi tunawajua Mapopo wa mjini 👈
 
Wanataka kuleta siasa kila sehemu hawa wapuuzi
 
Mpuuzi watu wanataka burudani sio hotuba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…