MwanaFA azomewa na wananchi baada ya kuanza kusifia Awamu ya 6 kwenye Tamasha la miaka 30 ya Bongo Fleva

Acha ndugu yangu nilifika Kigali aise ni kama upo mbele
 
MIDADA imelewa ni pombe tu ndio zimewatuma kuzoza zoza sipendi kuwadhalilisha zaidi.

Lkn tunawajua Mapopo wa mjiniπŸ‘ˆ

lkn baadae wakatulia Show ikapendeza na kina AY GK nk. Sio poaa πŸ‘ˆ
 
Msigwa hapo tayari kajiandaa kuja kutolea ufafanuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…