MwanaFA azomewa na wananchi baada ya kuanza kusifia Awamu ya 6 kwenye Tamasha la miaka 30 ya Bongo Fleva

BAada ya wahaini kushindwa watafanya kila kitu kuonyesha hawakuwa na hatia ili kukwepa adhabu.
 
Da nchi hii tulipo fika pabaya tuone tulikosea wapi tukae tusahihishe makosa yetu naona hatari kubwa iliyoko mbele yetu
Kama waziri anazomewa hivyo, nawaonya wasanii popote malipo msithubutu kutaja serikali ya awamu ya sita wala jina la mama yenu kwenye majukwaa mtauwawa Kwa kupigwa mawe kama wezi narudia mkijaribu kutaja serikali ya awamu ya sita mtauwawa kama wezi.
 
Baada ya kishundwa kutuvuruga kwenye skukuu zetu za kitaifa , sasa wame hamia kwenye matukio ya burudani
sasa mtu mzima na akili zake anakuja na hoja kwamba MWANA FA amzomewa kitu ambacho zio kweli , unaweza kuona mwenyewe jinsi hawa watu walivyo desperate kutu ingiza kwenye propaganda zao za kiwaki

wananchi walikua wana shangilia kumuona na taarifa alio itoa ya ARENA ,

niwashauri mkubari tu kuwa hii imeenda , na itaenda sanaaaa
 
🤣🤣
 

MwanaFA akutana na aibu, baada ya kutamka neno serikali awamu ya 6


View: https://m.youtube.com/watch?v=R7YB3U9PzTg
 
We mwe.hu?! Upo liwale
Mimi nilikuwa ukumbini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…