TANZIA Mwanafasihi maarufu Ngugi wa Thiong'o afariki Dunia baada ya kuugua muda mrefu

Oh prof, RIP kazi zako haziwez kusahaulika kamwe
 
This time tomorrow
 

The River Between.

Ilikuwa huwezi kupata A ya English bila kumpitia mwamba.

RIP.
 
Aisee....
RIP
Mpaka AI zinamjua kuwa ni legend, nilijibia mitihani ya form 4 kitabu chake cha The River Between

 
Duu kumbe hata vitabu tunavosomea vimeandikwa na wakenya? basi wakenya shikamoni hatuwachokozi tena
Duu 😢 mbona kuna vitabu vya Kiswahili vya mtu wa Tanga! ila sikumbuki jina! Humu kina walimu wanafahamu.
 
Duu 😢 mbona kuna vitabu vya Kiswahili vya mtu wa Tanga! ila sikumbuki jina! Humu kina walimu wanafahamu.
Tunao wanafasihi wengi tu hapa nyumbani, sielewi kwanini watu wanapachukia sana Tanzania kwetu wakati hawana homeland kwingine zaidi ya hapa.

Watu wameumbwa kupenda mother land sielewi watanzania wamekumbwa na nini, unless hawana exposure hawajawahi kutoka nje ya mipaka yetu wakaona maumivu ya kukumbuka nyumbani.
 
Historia itamkumbuka kizazi hadi kizazi kwa Vitabu vyake alivyoandika,
R.I.P Legend.
 
Rip Prof.
 
Siyo kwamba wanachukia. Inategemea umri. Kwa watu wengi waliosoma miaka ya 1970s hadi 1990s hasa O level vitabu vingi vilivyotumika kwenye somo la Kiingereza hasa Literature vilikuwa ni hivyo vya kina Ngugi wa Thiong'o, Chinua Achebe, Okot p'Bitek, Wole Soyinka, Flora Nwapa, Ayi Kwei Armah na waandishi wengi wa nje. Hivyo vya Watanzania vitakuwa vimeanza kutumika miaka ya karibuni may be from 2000s. Kwa hiyo usishangae hilo. Ukitupatia majina ya waandishi wa Tanzania na vitabu vinavyotumika kwenye Literature mashuleni utatusaidia wengine tuvifahamu na tujifunze pia.
 
Mungu amuweke pema.
Huyu Jamaa kwa literature amechangia sana.
Fahari ya Kenya na Afrika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…