The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 5,082
- 20,806
Ni kweli mkuu.Siyo kwamba wanachukia. Inategemea umri. Kwa watu wengi waliosoma miaka ya 1970s hadi 1990s hasa O level vitabu vingi vilivyotumika kwenye somo la Kiingereza hasa Literature vilikuwa ni hivyo vya kina Ngugi wa Thiong'o, Chinua Achebe, Okot p'Bitek, Wole Soyinka, Flora Nwapa, Ayi Kwei Armah na waandishi wengi wa nje. Hivyo vya Watanzania vitakuwa vimeanza kutumika miaka ya karibuni may be from 2000s. Kwa hiyo usishangae hilo. Ukitupatia majina ya waandishi wa Tanzania na vitabu vinavyotumika kwenye Literature mashuleni utatusaidia wengine tuvifahamu na tujifunze pia.
Sisi tunajua mapenzi tuu, ndo mana tukaandika Ngoswe, mapenzi kitovu cha uzembeDuu kumbe hata vitabu tunavosomea vimeandikwa na wakenya? basi wakenya shikamoni hatuwachokozi tena
Ushimen Umetisha maregend wote ma mate wakoNi huzuni kubwa sana mkuu.... mate alikua mtu wa maana sana tulimuita Thiong'o...π₯
R.I.P legend kazi zako zinaishi.
Mwandishi na msomi mashuhuri wa Kenya NgΕ©gΔ© wa Thiong'o afariki akiwa na umri wa miaka 87
Taarifa za Msiba zimethibitishwa WanjikΕ© wa NgΕ©gΔ©, ambaye ni binti wa mwanafasihi huyo mahiri barani Afrika,
Taarifa hizo zinaelezea Kuwa alikuwa na matatizo ya afya ikiwa ni pamoja na matatizo ya figo na uhamaji mdogo.
Mwandishi huyo wa vitabu, atakumbukwa kwa kazi zake mbalimbali ambazo ziliwavutia wasomaji wengi Afrika Mashariki kama vile A Grain of Wheat, Weep Not, Child, Devil on the Cross, Wizard of the Cross na Petals of Blood.
Ni kazi gani zingine za kifasihi unazozikumbuka kutoka kwa nguli huyu?
RIP mwandishi nguli wa fasihi

NgΕ©gΔ© wa Thiong'o alikumbana na changamoto kubwa za kiafya, ikiwa ni pamoja na saratani ya tezi dume, matatizo ya figo, upasuaji wa moyo, na uwezo mdogo wa kutembea, hali ambayo huenda ilifanya miaka yake ya mwisho kuwa migumu kimwili. Taarifa ambazo bado hazijathibitishwa zinadai kuwa alikumbwa na changamoto za kibinafsi, kama vile uwezekano wa talaka na kuishi peke yake, hali ambayo ingeweza kuchangia ugumu wa kihisia.
Mwandishi na msomi mashuhuri wa Kenya NgΕ©gΔ© wa Thiong'o afariki akiwa na umri wa miaka 87
Taarifa za Msiba zimethibitishwa WanjikΕ© wa NgΕ©gΔ©, ambaye ni binti wa mwanafasihi huyo mahiri barani Afrika,
Taarifa hizo zinaelezea Kuwa alikuwa na matatizo ya afya ikiwa ni pamoja na matatizo ya figo na uhamaji mdogo.
Mwandishi huyo wa vitabu, atakumbukwa kwa kazi zake mbalimbali ambazo ziliwavutia wasomaji wengi Afrika Mashariki kama vile A Grain of Wheat, Weep Not, Child, Devil on the Cross, Wizard of the Cross na Petals of Blood.
Ni kazi gani zingine za kifasihi unazozikumbuka kutoka kwa nguli huyu?
This time tomorrow.Monetary doctor Dr am 4 real PhD where shall we be this time tomorrow?
Cha nani hicho kitabu mkuu.This time tomorrow.
Ilijibiwa na hiki kitabu "A MAN WHO SAW TOMORROW"
V.I LENINCha nani hicho kitabu mkuu.
Yes, yule mrusi aliyewezesha Russian socialist revolution. Namkubali sana Vladimir Ilich Lenin.V.I LENIN
Huyu ndie a man who saw tomorrow π
Inasemwa huyo ndie a man who saw tomorrowYes, yule mrusi aliyewezesha Russian socialist revolution. Namkubali sana Vladimir Ilich Lenin.
Hilo sikupingi mkuu kwa sababu uimara wa nchi ya urusi tunaouona leo ulisababishwa na yeye hiyo inadhirisha kuwa jamaa aliichungulia kesho π.Inasemwa huyo ndie a man who saw tomorrow