Mwanafunzi mmoja afariki wengine hali tete wilayani Kilolo, Iringa baada ya kula futari ya msaada

Hoja ya msingi kama huna uwezo wa ku afford futari usifunge.
Na nimengundua islams wengi wanashinda na njaa. Katika kipindi hiki
 
Hatuwezi kujua kwa uharaka ule alioandika.Na uwezekano mkubwa ni uongo kabla hakujatolewa uthibitisho na chanzo cha kitabibu na kisheria.
Achana na masuala ya kitabibu/kisheria naongelea hayo uliyoyaorodhesha hapo juu kwamba;
-Wanafunzi wa kiislamu,
-Wamekula futari,
- msikitini,
-Iliyotolewa na jumuiya ya kiislamu, ndio nakuuliza haya maelezo ni ya uongo?
 
Nchi inajiendea tu... Ipo tu hovyohovyo yani..
 
Hawa wawili nitaleta taarifa zao baada ya kufuatilia maendeleo yao ila hadi jana hali ilikiwa mbaya.
Samahani, pamoja na nia nzuri ya kuhabarisha, lakini inaonekana huna mamlaka yoyote na taarifa inaonekana imekaa kimajungu, uchonganishi, fitina, chuki, hasadi n.k

Naona lengo lako lilikuwa uwe wa kwanza kuleta taarifa! Ukisoma unaona kabisa ndani yake kuna papara, mhemko, hisia, uharaka n.k! Kuna kitu ulikuwa unakilenga!
 
Yeye karahizisha kaandika kuanzia chakula ,waliokula ni nani wanafunzi wa kiislamu kwa nini aseme wa kiislamu jibu ni kuwa kawaida wanafunzi hawaruhusuwi kutoka nje ya shule ila sababu masalumu sasa hao ni wanafunzi wa kiislamu wako kwenye mfungo wa Ramadhani walitoka kwenda msikitini kuswali.Huko wakapewa chakula cha kufuturu wakale shule wakala kumbe kina sumu

Kaeleza kusaidia hata upelelezi uwe mwepesi polisi wanajua pa kuanzia wapi

Mleta yuko sawa tu
 
Wanafunzi walienda msikitini pale kwa Shehe Ally Bakwa. Wakapewa Futari (Tambo, viazi na maziwa).
Huyo Shehe anaitwa Shehe Bakwa huko walikoenda msikitini.Kwa nini anaitwa Shehe Bakwa ? Wote tunaelewa mambo yanayoitwa ya kubakwa
Hilo Jina la Shehe Bakwa linatokana na nini? Hadi akapewa? Kwamba huyu ndie Shehe Bakwa mwenyewe
 
Hoja ya msingi kama huna uwezo wa ku afford futari usifunge.
Na nimengundua islams wengi wanashinda na njaa. Katika kipindi hiki
Umepima ulichokiandika kweli yaani ushindwe ku afford futari basi usifunge kwahiyo usipofunga ndo utaweza ku afford milo mitatu kwa siku
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukialikwa kama umefunga kula taratibu na kama hujawahi kula hicho chakula basi onja tu
Mkiona pilau mnafakamia haswa
Nimeshuhudia watu wakiharisha kisa pilau ambalo hawajala mwaka mzima
Mnakimbilia ooh uchafu huku mkijijua mnakula uchafu kila leo
Mama ntilie anamuosha Mavi mtoto na maji hayo hayo anayooshea viombo na mnakula hamdhuriki
Ila mkipewa mualiko labda uwe ugali ndio mjaze tumbo
Pole kwa wafiwa
Tunajuana kwa kejeli na maneno ya maudhi ila kuwaza ndio vigumu
 
Msaada na zawadi huwa kuna nia imejificha nyuma yake so sio kila unachopewa unapokea, chunguza kwanza
Kwahiyo ukikaribishwa futari ikulu unachunguza kwanza! JF kila mtu anajiona anabusara kuliko wengine.
Akipita mtu anauza sumu ya panya unachunguza kwanza kwa kuonja kiduchu.
Hii kwa vijana wa sasa pamoja na Bashe, watanganyika karibu wote wa mpaka mwaka 1980 walikula unga wa yanga toka marekani, na asilimia kubwa ya wanafunzi walikula buruga, maziwa ya unga na mafuta ya kula toka marekani pia walikula mchele kitumbo toka china, na hawakugeuka mashoga. Tatizo lililopo sasa ni kila mtu mwanasiasa za kibaguzi japo hamsemi kama yule mwalimu wa madrasa jimboni kwa Bashe aliyewatafuna wanafunzi wake wa kiume kama naye alikula mchele wa marekani au tende za uarabuni.
 
Ww ulitaka aandike vipi? Kwamba ni wanaafunzi wa kikristo? Kwamba wamekula chakula kanisani? Kwamba huo msaada umetokewa na jumuiya ya wasabato?
Inferiority complex itawafanya muwe vichaa nyie watu.
Naona unahasira na wakiristu.
 
Umepima ulichokiandika kweli yaani ushindwe ku afford futari basi usifunge kwahiyo usipofunga ndo utaweza ku afford milo mitatu kwa siku
Namaanisha kuepuka adha kama hizo za kula futari ya bure mwisho uishie kufa kwa kuhara
 
Mimi nimejaribu kuwa na fikra kama zako lakini aliyeyakuza ni huyo daktari au nesi wa hiyo hospitala ambaye ameona ataje futari,msikiti,jumuiya ya kiislamu.
lakini si ni kweli ni futari na ni kweli kimetolewa na jumuiya ya kiislamu kwani kuna ubaya? mi sioni kama kuna ubaya. hata ingekua jumuiya ya kikristo maadamu ndio wametoa chakula tunaitaja. si kwa ubaya. ukiniuliza nachojua mimi jumuiya ya kiislamu iliyotoa msaada hawakua na lengo baya. lakini uchunguzi ni muhimu kwa lengo la kuepusha madhara wakati ujao na kuchukuliwa hatua kama kuna uzembe ulifanyika ama na waandazi au waliotoa msaada.
 
Ndiyo maana ni mazwazwa mnapinga hadi ujenzi wa bwawa la umeme ambao ni kwa ajili yenu wenyewe.

Kucha kuombaomba tu walichofanyia kazi wanaume wenzenu
 
Kwanza hakuna sababu ya kugawagawa futari, mara taasisi fulani imeandaa futari kwa ajili ya wateja wake, wapita njia, watoto yatima na kadhalika, huo msosi unatakiwa utolewe kila siku, kila siku watu wanakula na sio kipindi cha huu mwezi tu wanaouita mwezi wa toba. Upuuzi mtupu, hakuna mwezi wa toba, toba ni wakati wote mtu akianguka dhambini atubu sio mpaka mwakani mwezi wa toba ufike, hakuna mwenye guarantee ya siku za kuishi na kufa kurudi kwa muumba wake huko akhera/mbinguni au kuzimu/jehanamu. Kama we ni mgawa chakula, gawa miezi yote wahitaji wapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…