Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Mbona una lugha ya dharau hivyo dhidi yangu! Sikukuomba ujibu hoja yangu, kama umepigika kimaisha hasira zako usizimalizie kwangu, hayo ni matumizi mabaya ya Avatar.Ndiyo maana ni mazwazwa mnapinga hadi ujenzi wa bwawa la umeme ambao ni kwa ajili yenu wenyewe.
Kucha kuombaomba tu walichofanyia kazi wanaume wenzenu