Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 21,741 Reaction score 26,735 Mar 18, 2024 #81 Etwege said: Ndiyo maana ni mazwazwa mnapinga hadi ujenzi wa bwawa la umeme ambao ni kwa ajili yenu wenyewe. Kucha kuombaomba tu walichofanyia kazi wanaume wenzenu Click to expand... Mbona una lugha ya dharau hivyo dhidi yangu! Sikukuomba ujibu hoja yangu, kama umepigika kimaisha hasira zako usizimalizie kwangu, hayo ni matumizi mabaya ya Avatar.
Etwege said: Ndiyo maana ni mazwazwa mnapinga hadi ujenzi wa bwawa la umeme ambao ni kwa ajili yenu wenyewe. Kucha kuombaomba tu walichofanyia kazi wanaume wenzenu Click to expand... Mbona una lugha ya dharau hivyo dhidi yangu! Sikukuomba ujibu hoja yangu, kama umepigika kimaisha hasira zako usizimalizie kwangu, hayo ni matumizi mabaya ya Avatar.
blogger JF-Expert Member Joined Mar 13, 2012 Posts 12,112 Reaction score 15,060 Mar 18, 2024 #82 wegero kwetu said: Futari za kula ki ulaku ulaku muache Click to expand... Nakazia Mkuu
blogger JF-Expert Member Joined Mar 13, 2012 Posts 12,112 Reaction score 15,060 Mar 18, 2024 #83 Tupeni updates...