Mwanafunzi SAUT auawa kizembe

Sijafahamu Mazingira Ya Chuo Hicho Yalivyo!! Napata Shaka Na Hao Waliomshambulia, Je, Ni Wanajamii Ya Wanachuo Au Raia Wa Kawaida Tu!!?? Kama Ni Wanachuo, Je Hawamfahamu Mwenzao!!??
 
Umesoma Mass com unatutesa ivi.. ungesoma engineering ww tungehama nchi!

 
Bado Maswali Ni Mengi Mno Kuliko Majibu!! Hivi Hao Woote 3 (Kama Iko Hivyo) Walienda Kumfuata Huyo Msichana Kwa Lengo Moja La Kumuibia Hiyo Simu!!!!?? Na Je Walimfahamu Vp Kabla, Au Walienda Kwa Kubahatisha Tu!!! Ndio Maana Hilo Tukio Linahitaji Upelelezi Wa Kipolisi! Maana Kuna Dalili Za Kupindisha Ukweli, Wa Tukio Zima!! Na Hilo Linawezekana Kabisa, Kila Yanapotokea Mauaji Au Kifo, Watu Uwa Wanajaribu KUFICHA UKWELI Wa Matukio!! NADHANI Jeshi La Polisi Kwa Kushirikiana Na Uongozi Wa Chuo, Watawahoji Wale Wooote Waliokaribu Na Wanaoshukiwa, Mwisho Watatoa Majibu!! Kwani Wasichana Wana Mambo Mengi Mno!!
 
Kweli. Kesi ina utata sana. Kwa mtu makini anashindwa kung'amua ukweli kwa sababu kila upande una weakness za kupruvu.
Jamaa maziko yake yanafanyika sasa hivi.. So sad. Pia hata kama angekua kaiba kweli......... Anyway. Nadrop hapa coz inachanganya..
 
Uzinifu?halafu RIP

"Usihukumu, nawe hauta hukumiwa"

Pili hili ni tukio la WIZI, jifunze kutofautisha vitu, unaposema hili ni tukio la uzinifu kwa kuwa wengi humu jukwaani wamelivisha kofia hiyo unakosea!! Wakati mwingine haraiki huweza kuongopa!

Mind you: hili ni tukio la WIZI kama lilivyolipotiwa
 


R.I.P, POLENI WAFIWA.

MWANAMKE NI KIUMBE KATILI SANA BASI TU.
 
Duuuh
Samahani mi kiukwel SAUT nichuo ambacho sijawi kukielewa nipo mwanza mwaka kikazi lakini sijawai kutamani kifika saut chuo hakina KUDISCO
!Kama hawadisco ndiyo maana wanawaza mapenzi tuu
 
RIP
 

Attachments

  • 1456581461006.jpg
    54.9 KB · Views: 31
Hiyo midemu ya hapo SAUTI ni bora hata machagu doa wa Kakola Kahama,imejaa badoo kama solo la Kariakoo. Uki like tu tayari unaanza kuitwa Sweet kabla hajakumbambikia pesa ya nauli eti aje kukutembelea!! Nani kawaambia mimi niko Bugando naumwa!!? Shenzytype
 
tukio la kusikitisha, tupieni na picture ya huyo mdada tumuona Wenda kuna wengine kawaacha kwao wanamsubiria
 
Inaonekana hicho Chuo ndio zao hao mabinti,mwaka 2015 January 1 walimuua mtoto wa mwenye nyumba wangu kwa style hiyo hiyo,nawachukia Sana,mabint wanaogeuza miili Yao mitaji hasa vyuoni.
 
Huyu Jamaa ni Fala na amekufa kizembe...


Alikuwa anataka kuondoka na simu ya huyo demu ili iweje???... Demu mwenyewe labda wamekuta kichuo chuo anataka kumdhibiti kama mke wa ndoa!.


Huu ni upumbavu!.....


.
!
Siku ya kufa ikifika lazima kuwe na kijisababu chochote kitakachosababisha mauti yako...kamwe hakuna kifo kinachokosa sababu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…