Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
wananchi wana stress wanawaza kuua tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi taaluma ni nini? Je, PRO na Corporate Communication Manager ni taaluma au ni posts kwa wenye taaluma?Ukisema AFISA HABARI WA SAUT Kaongea UWONGO Ni Sawa Na KUITUKANA TAALUMA Yangu Ya PRO au CORPORATE COMMUNICATION MANAGER Ambayo INAHESHIMIKA NA KUKUBALIKA KWA KIASI KIKUBWA MNO KOTE DUNIANI. Kabla Sijakujibu Maswali Yako Naomba Kwanza UTUOMBE RADHI WANA MAAFISA MAHUSIANO / HABARI WOTE KWA KUTUDHALILISHA KUWA SISI NI WAONGO Otherwise Nikirudi KIVINGINE Hutafurahia Mkuu.
Hivi taaluma ni nini? Je, PRO na Corporate Communication Manager ni taaluma au ni posts kwa wenye taaluma?
Ungejibu kwanza swali langu mkuu.Kwanza Kabla Tu Sijakujibu Unajua Maana Ya PRO Na Corporate Communication Manager Kwa Kiswahili? Nisije Nikakujibu Kumbe Mwenzangu Hata Nilichokiandika Tu Hapo Ubongo Wako Umeshindwa " Kutohoa ". Kama Umeelewa Nitafsrie Kwanza!
Mbona umepanic Mrembo?Hawa kama ni wapenzi wa muda mrefu na huenda jamaa kajipanga kumwoa na wamekubaliana hivyo.Huyo dada ndoa kwake ndiyo imeishia hapo maana damu ya mjamaa itamdai milele
Kwangu mimi nakuchukulia kama mwehu, taahira, chizi tu na nilishakupuuza kitambo sana.Hata Mtaa Unaoishi Familia Yenu Nayo Ndiyo Inasemekana Inaongoza Kwa Kutoa MABINTI MAKAHABA Kiasi Kwamba Hadi Mmetengwa Na Majirani.
Xo uyodada yupo sawa Tanzania kubwa sana kuna watu wa kila aina
Kila weekend unakuja mwanza afu bado unaongelea mambo ya charcoal ribs kweli we ni wa kizamani. Hakuna mtu anayekula bata hapo mwz utampeleka charcoal ribs possibly ulikua unamaanisha jirani yake jembe ni jembe ukawa umekoseaMkuu mm nazangumzia mwanza sababu nipo huku na nina shuhudia kifupi ni kwamba hamna chuo ambacho dada zetu hawajiuzi ila kwa mwanza saut ndio kina ongoza kubali kataa mimi kila weekend lazima nifanye biashara na wadada wa saut zaidi ya nane na ni tofauti,,,,na umalaya wao hukolea zaidi msimu boom limekata hawa dadazetu wakijua una kahela tu cha kumlisha sato pale charcoal ribs au malaika basi utakula mpaka [HASHTAG]#0716[/HASHTAG]
haha mkuu naona yamekutoka sasaEe Mora waepushe wanangu walio vyuoni na wanagombaniwa na wasichana kibao. Mwemwemwe utumbo unanitoka bibi mimimi.
nasikitika kusema kwamba hata wewe pia una genes za uuaji
Mkuu kabla sijenda mbali naomba niseme wazi kwamba huu ni ubabaishaji ULIOTUKUKAUkisema AFISA HABARI WA SAUT Kaongea UWONGO Ni Sawa Na KUITUKANA TAALUMA Yangu Ya PRO au CORPORATE COMMUNICATION MANAGER Ambayo INAHESHIMIKA NA KUKUBALIKA KWA KIASI KIKUBWA MNO KOTE DUNIANI. Kabla Sijakujibu Maswali Yako Naomba Kwanza UTUOMBE RADHI WANA MAAFISA MAHUSIANO / HABARI WOTE KWA KUTUDHALILISHA KUWA SISI NI WAONGO Otherwise Nikirudi KIVINGINE Hutafurahia Mkuu.
I absolutely agree with you. This guy is an imbecile and we should all feel pity for him and ignore all the stinking boastful statements he always makes here.Kwangu mimi nakuchukulia kama mwehu, taahira, chizi tu na nilishakupuuza kitambo sana.
weweweeeee joni woka kafarikiInasikitisha sana. Kuna huyu mwanamuziki John Woka aliyefariki majuzi aliimba wimbo na Ras Lion wimbo usemao "Hii kitu, hii kitu, hii kitu hii".
mmh..![]()
Habari yenu,
kwa masikitiko makubwa tukio tajwa hapo chini limetokea Chuo cha SAUT mwanza ambapo mwanafunzi wa jinsia ya kiume ,alienda kumtembelea mpenzi wake chuoni SAUT bweni la RUGAMBWA,baada ya kufika katika kuangalia simu ya mpenzi wake alikuta sms ya mwanaume mwingine ambapo,alichukia na kuamua kuondoka na simu ya mpenzi wake.
Alichokifanya binti huyo aliita MWIZI ,watu walikuja na kupiga bila kuuliza.
Yes mkuu. Wiki ya pili sasa.weweweeeee joni woka kafariki
Ungejibu kwanza swali langu mkuu.