Mmmnnhhh...!!Dunia ya leo unazuwia mtu kupiga picha Ikulu?
Tatizo askari wetu wengi hasa wa kiafrika wanaamini sana katika nguvu kuliko katika matumizi sahihi ya akili Na utu wa kibinadamuSiyo lazima awe mwanao. Binadamu yoyote kupigwa kwa jambo la kijinga kama hilo mtu yoyote mwenye ubinadamu lazima unaumia. Haipaswi binadamu tuishi kama wanyama. Kama wameona ana kosa kona hatua za kuchukua na siyo kumpiga. Kama walinzi wanaotakiwa kuwa na displine kama wa Ikulu wanafanya ushenzi wa aina hiyo mgambo wa vijijini watafanyaje?
Unapo fikisha jambo mkuu usifikishe na uchochozi binafsi ilikua ni kumuonya tu asirudie kosa alo Fanya Na kufuta zile picha ila kuhusu sura za kinyarwanda acha uchochezi mkuu jeshi letu ni imaraImeniuma sana nikiwa natokes Hazina muda wa saa saba mchana nikapita maeneo ya Ikulu kwa mbele mara nyuma yangu alikuwapo mwanafunzi we Chuo cha usimamizi wa fedha, akapiga picha msafara wa mtu mzito aliyekuwa anaelekea kituo cha uwekezaji karibu na Bunge la Tanzania ofisi ndogo za Dar es salaam,
Binti huyo amepigwa ngwala na kurushwa kichura chura na walinzi wa Ikulu wenye sura kama za wanyarwanda na uniform maalum
Amevutwa Nywele kwa kudhalilishwa na raia tuliokuwa tunashuhudia tukiamuliwa kuondoka Mara moja, wakabaki na binti huyo,
Kwa haraka haraka maskini inaonekana alikuwa binti wa mwaka wa kwanza wa kutoka mikoani ambaye hakujua madhara ya jambo alilofanya,
Hapo nimeona wamekosea kumburuta hivo, wangeweza kumwambia afute picha hizo na kumuachia kwa kumuelimisha
Kasinja
Acha uongo wakoHayo maeneo hayaruhusiwi kupigwa picha, ingekuwa ni nchi kama Russia wangempiga risasi....
Wanyamulenge hawanaga huruma kwa watanzania, wao wamekuja kuangalia usalama wa ndugu yao tuImeniuma sana nikiwa natokes Hazina muda wa saa saba mchana nikapita maeneo ya Ikulu kwa mbele mara nyuma yangu alikuwapo mwanafunzi we Chuo cha usimamizi wa fedha, akapiga picha msafara wa mtu mzito aliyekuwa anaelekea kituo cha uwekezaji karibu na Bunge la Tanzania ofisi ndogo za Dar es salaam,
Binti huyo amepigwa ngwala na kurushwa kichura chura na walinzi wa Ikulu wenye sura kama za wanyarwanda na uniform maalum
Amevutwa Nywele kwa kudhalilishwa na raia tuliokuwa tunashuhudia tukiamuliwa kuondoka Mara moja, wakabaki na binti huyo,
Kwa haraka haraka maskini inaonekana alikuwa binti wa mwaka wa kwanza wa kutoka mikoani ambaye hakujua madhara ya jambo alilofanya,
Hapo nimeona wamekosea kumburuta hivo, wangeweza kumwambia afute picha hizo na kumuachia kwa kumuelimisha
Kasinja
Oooh kijana tindo!
Mnakataza kwa nn ? Kumpiga mtu ndio dawa kwa nn asipewe tu Elimu tatizo nchi hiyo kila kitu nguvu tu Binadam tujifunze kuheshim serikali lkn serikali lazima lazima ijue haki zetu sio kutuswaga km wanyama tu...kila taifa lna utaratbu wake ukiona USA cjui kwa kaburu utaratbu mzur kaishi huko hatuwez ruhus kupga picha ety usa wanapga ulimbuken huo
Kwani sheria inasemaje,si inakataza kufanya hivyo?Niseme kwamba walinzi wa Ikulu walikuwa kwenye harakati zao za kawaida za kutekeleza majukumu yao,kwa hiyo hawastahili kushutumiwa kabisa.Ifike mahali Watanzania tuheshimu sheria za nchi.Hawa walikuwa wanatekeleza sheria za nchi.Walinzi wa Ikulu wangejuaje kwamba huyo binti sio adui wa Taifa?Mtu yeyote anaweza kutumika kuidhuru nchi yetu pamoja na yeye,kwa hiyo ni lazima walinzi wawe makini,hasa wakati huu ambapo mabeberu wamekazana kupaza sauti zao dhidi ya nchi yetu.Tukumbuke kwamba anayofanya Rais ni mwiba kwa mabeberu,mafisadi na wachumia tumbo wengine wote,kwa hiyo there is every likelyhood that they will try to sabotage us..Imeniuma sana nikiwa natokes Hazina muda wa saa saba mchana nikapita maeneo ya Ikulu kwa mbele mara nyuma yangu alikuwapo mwanafunzi we Chuo cha usimamizi wa fedha, akapiga picha msafara wa mtu mzito aliyekuwa anaelekea kituo cha uwekezaji karibu na Bunge la Tanzania ofisi ndogo za Dar es salaam,
Binti huyo amepigwa ngwala na kurushwa kichura chura na walinzi wa Ikulu wenye sura kama za wanyarwanda na uniform maalum
Amevutwa Nywele kwa kudhalilishwa na raia tuliokuwa tunashuhudia tukiamuliwa kuondoka Mara moja, wakabaki na binti huyo,
Kwa haraka haraka maskini inaonekana alikuwa binti wa mwaka wa kwanza wa kutoka mikoani ambaye hakujua madhara ya jambo alilofanya,
Hapo nimeona wamekosea kumburuta hivo, wangeweza kumwambia afute picha hizo na kumuachia kwa kumuelimisha
Kasinja
Ila taatifa yako ina chumvi nyingi mno.Imeniuma sana nikiwa natokes Hazina muda wa saa saba mchana nikapita maeneo ya Ikulu kwa mbele mara nyuma yangu alikuwapo mwanafunzi we Chuo cha usimamizi wa fedha, akapiga picha msafara wa mtu mzito aliyekuwa anaelekea kituo cha uwekezaji karibu na Bunge la Tanzania ofisi ndogo za Dar es salaam,