Turudi pale Rau Madukani
JF-Expert Member
- Jan 16, 2016
- 2,793
- 5,898
Akome kupiga picha ovyo ovvyoImeniuma sana nikiwa natokes Hazina muda wa saa saba mchana nikapita maeneo ya Ikulu kwa mbele mara nyuma yangu alikuwapo mwanafunzi we Chuo cha usimamizi wa fedha, akapiga picha msafara wa mtu mzito aliyekuwa anaelekea kituo cha uwekezaji karibu na Bunge la Tanzania ofisi ndogo za Dar es salaam,
Binti huyo amepigwa ngwala na kurushwa kichura chura na walinzi wa Ikulu wenye sura kama za wanyarwanda na uniform maalum
Amevutwa Nywele kwa kudhalilishwa na raia tuliokuwa tunashuhudia tukiamuliwa kuondoka Mara moja, wakabaki na binti huyo,
Kwa haraka haraka maskini inaonekana alikuwa binti wa mwaka wa kwanza wa kutoka mikoani ambaye hakujua madhara ya jambo alilofanya,
Hapo nimeona wamekosea kumburuta hivo, wangeweza kumwambia afute picha hizo na kumuachia kwa kumuelimisha
Kasinja
OK...Mada inasema huyo binti kawapiga picha hao wanajeshi au kapiga picha maeneo ya ikulu?
Ilikuwaje best?Enzi za JK kidogo nidhalilishwe pale, sitasahau.
Nilikuwa napita pale mida ya saa 12 jioni best, nikakumbana nao wakanisimamisha, nilipigwa mkwara wa kufwa mtu, nikaambiwa niruke kichura kama 200m hivi, nikaomba msamaha mbayaaaaa...Ilikuwaje best?
Nenda kapige picha kwenye ikulu ya kreml, unapotea endelezeni siasa kwenye mambo siriazi..Acha uongo wako
Ni ulimbukeni tu hakuna lolote kuwa mwanajeshi haimaanishi ushindwe Ku reason kwa kiasi hiki hizi ni taratibu za kikoloni ziliwekwa kuwaminya watu weusi lakini cha kufurahisha Bado sisi kwa sisi tunaminyana....Sehemu yyte unapoona kuna magwanda ya jeshi kwa wingi sio pa kuchezea hata kidogo hao jamaa ni binadam wakiwa uraian tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .......sipatiii picha huo msamaha best, natamani ningekuwepo haaahaaaNilikuwa napita pale mida ya saa 12 jioni best, nikakumbana nao wakanisimamisha, nilipigwa mkwara wa kufwa mtu, nikaambiwa niruke kichura kama 200m hivi, nikaomba msamaha mbayaaaaa...
At the end wakanisamehe nikaondoka zangu.[emoji23][emoji23]
Chadema imefikaje hapo acha uzwazwaWanajeshi wetu nao hawana tofauti na mbwa ,reasoning zero.
Unavuta nywele za mdada ili iweje ? roho za Kichadema hizi
Jeshini hawapigi raia.Acheni huu ujinga Yani huyo binti sio mtanzania Wala sio raia. Nakilichomkuta ni adhabu yake. Hivi kweli hajuwi pale watu hawapigi picha Acheni kuweka mambo yakipumbavu mkijuwa sheria hata mm nimesoma ifm hivyo wacha atolewe ushamba nisawa nakuingia eneo la jeshi pasipokujuwa lazima yakukute yakukuta ila Usije simulia maana ni haki yako. Nenda pale st peter upige picha ile ndege kwenye mzitu alafu ndipo uje kusema nn kitakupata
Nyie waafrica siku hizi mnaruhusiwa kujichanganya maeneo ya mjini?Acha uongo russia ipi unasema?? Ulizeni kabla ya kudanganya watu
We bwabwaja kuna mwenzako alichezea hpo
Anakula kibano anabakia ksema mm chichiem mm chichiem
Ova