Mwanafunzi wa sekondari Nganza asema viongozi wanashindwa kutekeleza mipango ya nchi kwa sababu ya kukosa uzalendo

Mwanafunzi wa sekondari Nganza asema viongozi wanashindwa kutekeleza mipango ya nchi kwa sababu ya kukosa uzalendo

Imepangwa hiyo ni triki ya serikali kujitahidi kutengeneza matukio ya kututoa kwenye mijadala ya msingi kuhusu mustakabali wa taifa Haswa hili la bandari, naona wanatumia wasanii, watangazaji, wanasiasa, baadhi ya raia wa kawaida nk!!lakini wapi hili naona raia wamelivalia njuga hata koneksheni Kwa kipindi hichi hazifui dafu!

Tujitahidi sana kuishi Kwa nyakati na kuthamini nyakati katika levo yoyote ile ya maisha uliojaaliwa, barikiwa na kutunukiwa pia kwa kuwa nyakati ndio huamua.

Hadi huo wanaosema ndio mwisho wetu(kifo/kufa)ni Nyakati tuu ndio huamua na huamua kupitia watu kifikra,,,kimaono,,,na kimitazamo pia!!!###Nyakati###
 
Acha ujinga wewe kwani huo viongozi kwa nini wasitukanwe wakati wanauza nchi yetu
 
Mwanafunzi kuitukana serikali ni haki ya kikatiba na ya kibinadamu.

Cha ajabu kipi hapo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mtoto kumtukna MTU mzima ni Sawa??
 
Mbona kaongea vizuri tu

Su ulitaka zuchu awepo hapo

Atumbuize

Ova
 
Hakuna matusi aliyoongea, hakuna kipya alichoongea, hakuna cha ajabu alichoongea naona imepangwa kudivert attention ya contemporary national issues kwa kubring comparison ya marehemu na tunaoishi.

Huyu aliyeleta hii mada labda ana maana yake alitaka tuone hiyo clip then turudi kwenye mijadala ya comparison ambayo kwa sasa haitusaidii kwa wakati huu ambao huo uzalendo umeshakuwa wa hali ya juu kwa wananchi sema chama tawala kinawaharibu.

Uzalendo sio neno jipya mwanzilishi wake akiwa mzee wetu Nyerere na Sokoine akaliwekea mkazo. Sioni kama ametukana mtu hapo zaidi ya kutaka labda kumpa fame huyo binti.

Anyway you got it.
 
Anatukanwa hadi Rais wa nchi yenye uchumi mkubwa huko duniani, hawa MAKABWELA omba omba ni nani wasipewe vidonge vyao? Ndugu fanya kazi zako achana na uchawa
we unaumwa, shida we ni mtoto wa single mother, ndiyo madhara yake
 
Mwenyewe alishasema hataki nidhamu ya uoga,nyie vyawa mnawashwa nini watu wakitema nyongo?
 
Wapi kawatukana viongozi wa serikali hapo?

Kumsifia Magufuli ndio kutukana viongozi wa leo?
 
Back
Top Bottom