Mwanafunzi wa sekondari Nganza asema viongozi wanashindwa kutekeleza mipango ya nchi kwa sababu ya kukosa uzalendo

Mwanafunzi wa sekondari Nganza asema viongozi wanashindwa kutekeleza mipango ya nchi kwa sababu ya kukosa uzalendo

Mtoa mada ni mpuuzi sana,na itoshe kusema huyo dogo amekuzidi maarifa sana.

Mbona hamna ubaya wowote wa huyo dogo.
 
Mtoa mada ni mpuuzi sana,na itoshe kusema huyo dogo amekuzidi maarifa sana.

Mbona hamna ubaya wowote wa huyo dogo.
Tatizo hapo kutolewa mfano Magufuli! Ina maana katika Serikali hii dogo hakuna alimuoma ni mzalendo.
 
Ndiyo huyu au?

Dadeki wewe ni nyoko umeweka kichwa Cha habari Cha uongo na uzushi,. Please Moderators futeni hii thread Ina uongo na inataharukisha na kuchafua taswira ya Huyo mwanafunzi
 
Mwanafunzi anatakiwa aweze kujieleza,kuchambua na kutafakari mambo anayokutana nayo.
Katika mazingira ya taaluma wanafunzi wapewe kinga, kwani wabunge wanakinga katika mazingira ya bunge(ili wawe huru kutoa maoni).
 
Kama ndio hichi mleta mada ndio takataka kabisa iliyooza... Mpumbavu kabisa...
Ndiyo chenyewe! Dogo hajaona mzalendo yoyote au ata anaekaribia nusu na uzalendobwa Magufuli kwa Taifa lake.
 
Mbona huyu mwanafunzi ameeleza vizuri tu.
Shida yao wakitaka atajwe SAMIA kama mfano! Kitendo cha kumtaja mfu tena wa miaka 2 nyuma kimewauma kias wanajiuliza ina maana hajatuona au?
 
Wanasaikolojia hujua kuna foolish age

Yeye anaangukia hapo

Ni kumuacha tu

Ku.mtreat kama adult ni kumuonea

Foolish age ya umri anao wana confidence foolish hujifanya viko mature wakati hamna kitu

Aachwe tu hiyo peke yake ni touture kubwa kakiondoka kwenye foolish.age kakifikia self realisation age Akikumbuka past foolish alifanya aweza kufa kwa pressure au ku paralyse

Aachwe tu
Samahani Mkuu..naomba nionyeshe TUSI lake .... Kama kusema viongozi sio wazalendo ndio tusi kwenu basi atakuwa amewazidi akili mbali sana huyo Mtoto.... Naomba nisaidie TUSI lake nielewe.
 
Back
Top Bottom