Imepangwa hiyo ni triki ya serikali kujitahidi kutengeneza matukio ya kututoa kwenye mijadala ya msingi kuhusu mustakabali wa taifa Haswa hili la bandari, naona wanatumia wasanii, watangazaji, wanasiasa, baadhi ya raia wa kawaida nk!!lakini wapi hili naona raia wamelivalia njuga hata koneksheni Kwa kipindi hichi hazifui dafu!
Tujitahidi sana kuishi Kwa nyakati na kuthamini nyakati katika levo yoyote ile ya maisha uliojaaliwa, barikiwa na kutunukiwa pia kwa kuwa nyakati ndio huamua.
Hadi huo wanaosema ndio mwisho wetu(kifo/kufa)ni Nyakati tuu ndio huamua na huamua kupitia watu kifikra,,,kimaono,,,na kimitazamo pia!!!###Nyakati###