Mwanahabari Erick Kabendera akamatwa na Polisi nyumbani kwake; yadaiwa anaendelea na Mahojiano

Wacha tuwaulize hao wasiyo julikana watujibu
Nina Iman na Uimara wa majeshi yetu, haiwezekani watu wasiojulikana hawajajulikana mpka leo.
"If you can't defeat them, join them"
Au ndio wamewajoini?
 
Alishapewa chake huyo.!
 
Tumuombee kwa manani yasimkute makubwa
 
Alikuwa anaandika habari zipi hizo za uchunguzi ?! Hizi habari tuzizoea kutoka mataifa ya kidikteta, lakini sasa Tz hatuko nyuma nadhani tunaongoza
 
Nadhani ana uhusiano na yule mwandishi aliyetumbukia kwenye ziwa victoria Kabendera Shinani ambao kiasili ni watu wa Rwanda
Hii ni hatari saana.
Pigeni kelele huyo mwandishi Erick Kabendela arudishwe salama.
Hiyo ni PK Rwanda style!!
 
Hivi hao wasiojulikana wanadhani hawatakufa waoze hata wawatese watu hivyo.

Kila jambo lina mwisho wake.
 
IGP kazi imemshinda halafu mambo yakutekana huwa azungumzii kabisa anamwaachiaga ma RPC yeye kama hayamuhusu kabisa.

Hakuna ata siku moja IGP kajitokeza kwenye sakata la mtu kutekwa, si ajabu yupo nyuma ya ivyo vikundi.

Tupate tafsiri gani pale mkuu wa jeshi la polisi anapokuwa na blind-eye kiasi hiki kwenye tatizo sugu la ulinzi ndani ya jamii.
 
Je, ana uhusiano na yule Kabendera wa zamani aliyezamishwa ziwa victoria miaka ileeee?
 
Kumbe ni polisi!uache kihere here cha kupost unconfirmed.news
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…