Mwanahabari Erick Kabendera akamatwa na Polisi nyumbani kwake; yadaiwa anaendelea na Mahojiano


mpaka hapa wasiojulikana wamejulikana,,kama si wananchi na mwenyekiti wao kujitokeza kabla hajabebwa basi tungetangaziwa ametekwa na watu wasiojulikana.
 
Haa kumbe mange walimtuliza [emoji28]
 
Basi mitanzania baadhi ilivyo mijinga, mpaka hapo mtashindwa kutengua swali la wasiojulikana ni kina Nani,, inasikitisha ilipofikia, eti nchi ya amani
 
yule binti mbona bado ana post occasionally?
ni vile alikuwa pissed off na ku fail kwa UKUTA lakini si eti alinunuliwa au kutishwa.
hizo ni propaganda za misukule ya wakolomije!
 
Bila polisi na watu wasiojulikana ccm ni wepesi kuliko pamba
 
Huyu Kabendera si anatokea kule kwa wakimbizi kama alivyosema Mwenyekiti wa UVCCM TAIFA
 

Ni wa kuwaonea huruma mbeleni watadakwa wote kama Kuku huwa wanaacha ushahidi pa kuanzia. Huwezi kuta MTU anaejitambua akatumwa kuteka watu,hali ukiingia awamu nyingine mnakamatwa mstakiwe kujibu historia na wa kuwatetea hayupo. Wasiojulikana wa Gambia wamekusanywa wote na Jameh ana msaada kwao yuko nje ya Madaraka sawa na mwanamke tu.
 
Kashepewa umarufu usio wa lazima, we have very weak think tank behind decision makers, hapa nawalaumu TISSS moja kwa moja. Ipo namna nyingine na sio huu upuuzi unaopewa nafasi kwa kasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…