Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hofu yangu ni kwamba huyu mtekaji baada ya muda atastaafu na kurudi nyumbani wasi wasi wangu ni kuwa zoezi la utekaji ataendelea nalo je akikosa mtu wa kumteka si anaweza kumteka hadi mkewe.Infact huo mchezo utaendelea mpaka litokee jambo litakalowafanya wapay the price ya matendo yao, nje ya hapo watateka waandishi, watateka wafanyabiashara,watateka wanazuoni, watateka viongozi wa dini, wakimaliza hapo watateka wapinzani wao!
Ni kama Shetani hivi aliyeachiwa lose, hawezi kukoma kusumbua mpaka itokee nguvu fulani ya kumdhibiti
Ukiachana na hili la kuvuja sauti za kina Nape, Membe, Kinana na wengineo nimeshtushwa na kutekwa kwa mwanahabari za kiuchunguzi Erick Kabendera. Taarifa zinasema alizimiwa mawasiliano kabla ya kutekwa kwake na walipowapigia Voda kwa namba nyingine kujua sababu waliambiwa wameamriwa kuzima mawasiliano na mamlaka ya mawasiliano TCRA...Wapi tunakwenda kwa style hii? Hate sauti za kina Membe, Nape, Makamba Jr na Sr na wengineo hazikupaswa kuletwa kwetu baadala yake zingepelekwa kwa mamlaka husika kwa ajili ya hatua Zaid na sio kuzidisplay kwetu. Madhara ya hayo myafanyayo TCRA ni makubwa Sana kwa taifa....
kaibukia huku https://www.facebook.com/groups/167321583995506/Naona huyu Ngurumo anataka kuchukua nafasi ya yule bint aliwatikisa jamaa zetu kupitia instagram hadi akasababisha makamanda kuandamana ila ameufyata baada ya kupigwa mkwara ya kwamba akiendelea na fujo bhas jamaa zetu wangeachia picha za tukio lililomfanya baba yake ajiue pia kwa ustaarabu wa jamaa zetu wakampa US dollars kadhaa kama kiinua mgongo cha kumstaafisha Instagram....sasa hivi page hata kutembelea inabidi uwe peke yako maana ni vichupi tuu ndivyo anavyo post na mala chache huwaponda akina Paulo ambao ana personal conflicts nao.....
Rwanda imetuharibia nchi [emoji56]Tz ya John (ila sidhan kama ndo yuleeee John the Baptist)
So sad..
Hadi aibu kuimba wimbo wa taifa
Mwandishi wa habari za uchunguzi Erick Kabendera anadaiwa kuvamiwa na 'watu wasiojulikana' nyumbani kwake Mbweni jijini Dar es salaam baada ya watu kadhaa wakiwa na magari kuvamia na kuzingira nyumba na kuzuia watu kuingia.
Namba ya gari lililomchukua imetajwa ni T746DFS.
View attachment 1166543
Erick Kabendera, a Tanzanian journalist, has been abducted from his home in Mbweni, Dar es Salaam. He told one of his colleagues of a high presence of security vehicle and unknown people around his house shortly before he disappeared to never be reached by phone this evening.
UPDATES:
Baada ya watu hao kuzingira nyumba huku wakionekana kuwa na nia ovu, yeye na familia walifunga milango. Wananchi akiwemo M/kiti wa mtaa walipofika na kuhoji wao ni nani walisema wao ni Polisi (hawakuwa na sare wala gari la polisi). Sasa inadaiwa wamekwenda naye kituo cha Polisi Oysterbay.
UPDATES: 2100HRS
Jeshi la Polisi inadaiwa linaendelea kumhoji Kabendera kuhusu mambo ambayo hayajawekwa wazi na wala hawajasema anahojiwa kituo gani. Taarifa hii ni kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Kinondoni.
Kabendera alichukuliwa na watu 6 waliokuwa na silaha na inadaiwa simu yake ilikuwa blocked tangu Jumamosi huku Mtandao wa Vodacom wakimwambia wamefanya hivyo kwa maagizo ya TCRA. Wakimtaka ajisalimishe Voda Shop
View attachment 1166671
Wananchi waliokusanyika nyumbani kwa Erick walijitahidi kuwazuia watu hao na kuwataka wajitambulishe. Pamoja na jitihada za wananchi kutaka kupiga picha, simu zao zimechukuliwa kwa kudaiwa kuwa hawaruhusiwi kupiga picha.
05:20am - July 30, 2019
Chanzo kinabainisha Erick alikamatwa na Maafisa wa Polisi waliotokea Kituo cha Polisi Mbweni lakini njiani inadaiwa magari yalibadilishwa na bado hakuna taarifa rasmi za kituo gani anahojiwa.
Unabariki tuwe na taifa la mambumbumbu linalolishwa propaganda badala ya ukweli halisi !!. Tz yangu tumekosea njia wapi ?!. Mbona tumeingia chaka sana ?!.Hata hivyo pamoja na Kushtushwa Kwako hivi ila kaa ukijua ya kwamba hata ukiwa katika Mafunzo ya Uandishi huu wa Habari za Kiuchunguzi moja ya Jambo ambalo huwa wanasisitiza ni kwamba muda wowote jua ama utakamatwa au utauwawa au utatekwa na Watu au Mamlaka hivyo ni Imani yangu Kubwa hata Erick nae haya yote alikuwa anayajua na hata Waandishi wengi wa Habari za Kiuchunguzi duniani kote wanayajua.
Mkuu ni kweli, ila hata kama unajua wakati wowote utatekwa au utauliwa, bado tunaelekea kubaya.Hata hivyo pamoja na Kushtushwa Kwako hivi ila kaa ukijua ya kwamba hata ukiwa katika Mafunzo ya Uandishi huu wa Habari za Kiuchunguzi moja ya Jambo ambalo huwa wanasisitiza ni kwamba muda wowote jua ama utakamatwa au utauwawa au utatekwa na Watu au Mamlaka hivyo ni Imani yangu Kubwa hata Erick nae haya yote alikuwa anayajua na hata Waandishi wengi wa Habari za Kiuchunguzi duniani kote wanayajua.
Mkuu ni kweli, ila hata kama unajua wakati wowote utatekwa au utauliwa, bado tunaelekea kubaya.
Hata Yericko Nyerere alianzishaga hiyo kampeni, sijui aliishia wapi.Mbona Lema aliitaja voda na kamanda wenu mange akawaanziashia kampeni mkaishia patupu?
Infact huo mchezo utaendelea mpaka litokee jambo litakalowafanya wapay the price ya matendo yao, nje ya hapo watateka waandishi, watateka wafanyabiashara,watateka wanazuoni, watateka viongozi wa dini, wakimaliza hapo watateka wapinzani wao!
Ni kama Shetani hivi aliyeachiwa lose, hawezi kukoma kusumbua mpaka itokee nguvu fulani ya kumdhibiti
Inawezekana kuwa hata kinachojadiliwa hapa hukijui.Naona huyu Ngurumo anataka kuchukua nafasi ya yule bint aliwatikisa jamaa zetu kupitia instagram hadi akasababisha makamanda kuandamana ila ameufyata baada ya kupigwa mkwara ya kwamba akiendelea na fujo bhas jamaa zetu wangeachia picha za tukio lililomfanya baba yake ajiue pia kwa ustaarabu wa jamaa zetu wakampa US dollars kadhaa kama kiinua mgongo cha kumstaafisha Instagram....sasa hivi page hata kutembelea inabidi uwe peke yako maana ni vichupi tuu ndivyo anavyo post na mala chache huwaponda akina Paulo ambao ana personal conflicts nao.....
point yako hapo ni nini?Ukijkita katika aina hiyo ya Uandishi yakupasa kila mara uwe unawaambia wana Familia wako kuwa wakisikia Umekufa wala wasishtuke, wasilie na wasisikitike kwani Moja ya Gharama Kubwa ya huo Uandishi ni Umauti au Mateso makali ambayo yatapelekea Afya yako kuwa mbaya au ukaishia kuwa na Majeraha makubwa na hata Ulemavu hadi Kifo chako.
point yako hapo ni nini?
[emoji15][emoji15][emoji15] mbona unashindwa kuficha ujinga wako dada angu?Kwamba Wewe ni Mpumbavu Mwandamizi uliyethibitishwa Kimataifa na hadi juu Mbinguni kwa Mungu Baba Muumba wetu.