ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,837
- 3,027
Nguvu ya Mamba kumayi !Kiukweli ile kauli ya Uwashike Wazee nilitafakari sana nikatafuta reference hadi kwenye Biblia, but Mama yetu tuko nae sana tu
Kitu kinaweza kuwa hakina ubaya wowote kama kikifanyika lakini kwa kuwa hakiwezekani kufanyika basi itabaki kuwa Hivyo ππNingependa nisikie huyo uliye mjibu akikueleza kuna ubaya gani katika haya uliyo yaelezea hapa.
Hilo liko wazi huo ni mwanzo tu mbona watamalizana na kupoteana sa100 hatakiwi ndo maana anatoa rushwa huko misikitini na makanisani
Huyo wakubwa juu serikalini hakutakiwa shughuli akaiona.Malinzi alikaa TFF kwa vipindi vyote kikatiba hadi muda wake ukaisha? Naomba jibu
Hii habari itakuwa ni muendelezo tuu wa habari uongo na uzushi wa Kube na gazeti lake la Mwanahalisi kama ule uzushi wa kumhusu Ben Saanane!.Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba huko ccm maji yamekorogeka, Tayari Wagombea wa Urais 2025 wameanza kujitokeza.
Habari zaidi zinadokeza kwamba Uwashike Wazee au usiwashike hakutakuwa na Mswalie Mtume
Sasa kama Samia uwezo wake ni mdogo sambamba na IQ yake kuwa chini ya wastani, watu wakisema hivyo kwanini iwe ni kukosa adabu..?Huna adabu kabisa na una akili ndogo sana wewe.umejaa ukabila ,ukanda na chuki binafsi muda wote.
Hapo ndipo watachukia huo utaratibu.....walianza na mwendazakw hawakujifunza.Wanajihangaisha tu ,CCM huwa wanachapisha fomu moja tu na tena ina jina la mwenyekiti/mgombea.
Mzee Pascal Mayalla, kila "taboo" huwa inafikia ukomo wake nyakati na majira yake yanapowadia...Hii habari itakuwa ni muendelezo tuu wa habari uongo na uzushi wa Kube na gazeti lake la Mwanahalisi kama ule uzushi wa kumhusu Ben Saanane!.
Hakuna mwana CCM mwenye akili timamu, anaweza kuuwazia urais wa 2025 kwasababu kwa mujibu wa utaratibu wa ki CCM, uchaguzi wa 2025 ni uchaguzi wa mserereko, inachapishwa fomu moja tuu ya urais kwa ajili ya rais aliyepo madarakani!.
Hivyo mwana CCM yeyote anayeuwazia urais wa 2025, huyo atakuwa sii mzima!, uless kama sauti HII ni ya kweli!.
P
Tamaduni ni ujinga usiokuwemo ndani ya Katiba, bado unataka leo tuendelee kuabudu Tamaduni?Najuwa ila nimesema hizi taasisi zote hakuna wa kumyoshea kidole mwenzake japo CCM wana nafuu wao wamesema wazi sisi hizi ni tamaduni zetu kumpa mwenyekiti nafasi mara 2 akimaliza basi lakini wengine huko hakuna tamaduni wala limit
Aiseeeeeee!!!Mzee Pascal Mayalla, kila "taboo" huwa inafikia ukomo wake nyakati na majira yake yanapowadia...
Kwa kipindi cha miezi 12 ijayo, utashuhudia "taboos" nyingi zikifikia ukomo wake na kubatilishwa. Mojawapo ni hii ya "U - Rais wa mserereko."
Zipo factors na indicators za kutosha na zinazojitosheleza kwa zaidi ya 100% kuwa huyu mama alikuwa ni RAIS WA MPITO tu na mwisho wake ni miezi michache ijayo;
MOSI; Mzanzibari hawezi kuwa Rais wa Tanganyika tena. Hali ilivyo sasa kwa Tanganyika kuongozwa na raia wa kigeni toka nchi ya Zanzibar inaudhi na kumkera kila Mtanganyika bila kujali itikadi ya kisiasa tulizonazo. Tusiambiane habari za muungano huu wa kinadharia kati ya Tanganyika na Zanzibar. Hii ni nadharia ya hovyo iliyokwisha kupitwa na wakati na inayopaswa kuondoka na kupotelea mbali huko pamoja na waasisi wake wazee wa kizazi cha Hayati Julius K. Nyerere...!
Ni afadhali mara milioni moja tuwe na Rais Mtanganyika wa sampuli ya John Pombe Magufuli (lakini Mtanganyika) kuliko ujinga na uhayawani wa kukubali kutawaliwa na Rais wa nchi ya kigeni...!!
PILI; Ukiachilia mbali u - Zanzibari wake, huyu binadamu ni mwanamke. Itoshe tu kusema kwa ufupi sana kuwa, nchi hii ya Tanganyika si kama Marekani (USA) yenye mifumo thabiti ya udhibiti (i.e CHECKS & BALANCE) yenye full mandatory authority ya kufuatilia na kudhibiti tabia na mienendo ya ma - Rais wanapokuwa ktk ofisi kuu ya nchi....
Chini ya mfumo huu thabiti wa CHECKS & BALANCE wa USA, ipo possibility ya karibu 50% ya mwanamke kuwa Rais na akaongoza kwa mafanikio. Na bila shaka Kamala Harris wa chama cha Democrats anaweza kumshinda Donald Trump wa Republican mapema wiki ijayo na kuwa Rais mwanamke wa kwanza USA...
Hapa Bongo - Tanganyika, bado wakati huo haujafika kuruhusu hili. Lilifanyika kosa huyu akapenya na kujikuta tu hapo. Haipaswi kuliendeleza kosa hili wakati fursa ya kurekebisha imepatikana...
Na for sure kabisa, kwa miaka hii minne tumethibisha pasipo shaka kuwa, nchi hii haiwezi kuwa chini ya uongozi wa mwanamke kwa sababu za kiasili (natural reasons) na zile za udhaifu wa mifumo yetu ya kisheria na kikatiba inayoruhusu hooligans kutumia udhaifu wa asili (natural weakness) wa mwanamke kuingilia maamuzi ya nchi kwa maslahi binafsi ya majambazi haya. Na ndiyo maana kama nchi tuko hivi tulivyo leo..!
TATU; Huyu Rais mwanamke ni mwana - CCM. Na ishara ziko wazi sana kuwa, mwisho wa CCM umekwishakufika na mwisho huu utahitimishwa kwa mikono ya wana CCM wenyewe kama ambavyo KANU ya Kenya ilivyojimaliza yenyewe. Ishara ziko wazi mno kwa waonaji na watambuzi wa mambo...
KWA HIYO; hawa wanaoijiandaa kuvunja "taboo" ya hiki ulichokiita "u - Rais wa mserereko", eleweni kuwa ni sehemu ya utimilifu wa mwisho na amini usiamini ITAKUWA HIVYO....!!!
Porojo tu. Hakuna kitu kma hicho. Mhe. Rais Samia hana wa kushindana naye.πππKuwa wa kwanza kufahamu kwamba huko ccm maji yamekorogeka, Tayari Wagombea wa Urais 2025 wameanza kujitokeza.
Habari zaidi zinadokeza kwamba Uwashike Wazee au usiwashike hakutakuwa na Mswalie Mtume
Hahaha, yule mwamba aendelee kukaa akitoka tu Chadema itakufa.Mbowe anaachia lini uwenyekiti?
Shida tunadhani katiba ni kama kitabu cha dini, katiba unaweza kuibadili tu kutimiza malengo yako wala sio shida na wala haina maana kila kilicho kwenye katiba ndio bora kuna mambo nje ya katiba na ni bora. Family zetu hatukuandika katiba ila tamaduni za kifamilia ndio zinashikilia umoja na matendo yetu.Tamaduni ni ujinga usiokuwemo ndani ya Katiba, bado unataka leo tuendelee kuabudu Tamaduni?
Ni lazima katiba ya chama iheshimiwe,Wajitokeze tu, kawaida sana hiyo CCM.
Hakuna jipya hapo. Kubenea anawajuwa watatu tu? binafsi nina majina kumi na tano.
Kwa nini mtoe form moja? Wengine hawana haki ya kugombea?CHADEMA mnahangaika sana na kuteseka kama wagonjwa .Mnamuogopa Sana Rais Samia maana mnajuwa kuwa hamna ubavu wala uwezo wa kushindana naye katika sanduku la kura hapo mwakani.
Fomu ya Urais ndani ya CCM ni moja tu kwa ajili ya Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.View attachment 3139486
Sahihi....Membe tu ndio alijaribu mbele ya dakitata
Tangu tumepata uhuru maraisi wote wanahudumu misimu miwili. Na hivyo ndo ilivyo.., nyie jidanganyeni tu.Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba huko ccm maji yamekorogeka, Tayari Wagombea wa Urais 2025 wameanza kujitokeza.
Habari zaidi zinadokeza kwamba Uwashike Wazee au usiwashike hakutakuwa na Mswalie Mtume