Mwanajeshi kumshambulia dereva wa daladala ikiwa na abiria ni kuhatarisha maisha ya abiria pia

Mwanajeshi kumshambulia dereva wa daladala ikiwa na abiria ni kuhatarisha maisha ya abiria pia

Jamaa hajafanya poa ila kuna kauli wanatoaga madereva daladala alooo hata kama sio baka baka unaweza zinguana nae unakuta jambo dogo unatolewa kauli chafu mpka unajiuliza ni haya haya maswala ya barabarani au kuna lingine...... Hatujui chanzo ila mjeda kazingua bora umchukulie hatua stahiki kuliko kupiga maana itaonekana ni uonevuna huenda mwenye daladala ndio kazingua.....

Nimeahawahi tukanwa kisa kubana kati nipite na nilionyesha ishara zote na ukiangalia pembeni ukipita lazima upasue tairi ila niliyapokea nikavunga maana ugomvi mwishoe ufe kisa mambo ya road noma
 
Naendelea kumtafuta huyo mjeda (askari wa JWTZ) aliyefanya hivyo ili nimpe zawadi ya soda tamu, kwa sasa nchini Tanzania ya supa commando na nawaomba na wanajeshi wengine waige mfano wake kwa madereva daladala wakorofi, wahuni na wenye dharau wa maeneo mengine nchini.
 
naendelea kumtafuta huyo mjeda ( askari wa jwtz ) aliyefanya hivyo ili nimpe zawadi ya soda tamu kwa sasa nchini tanzania ya supa commando na nawaomba na wanajeshi wengine waige mfano wake kwa madereva daladala wakorofi, wahuni na wenye dharau wa maeneo mengine nchini
Utafikiri wote tunajua kisa cha huyo jeda?
 
naendelea kumtafuta huyo mjeda ( askari wa jwtz ) aliyefanya hivyo ili nimpe zawadi ya soda tamu kwa sasa nchini tanzania ya supa commando na nawaomba na wanajeshi wengine waige mfano wake kwa madereva daladala wakorofi, wahuni na wenye dharau wa maeneo mengine nchini
Unakumbuka kisa cha mwanajeshi aliekaua pale Kawe mwaka jana? Basi jitahidi kukwepa ghadhabu na raia! Unaweza ukasagwa alafu muanze kutumia kodi zetu vibaya kwa kukusanya makundi ya wanajeshi wenzenu ili waje wawapigw waliokudunda huku mkitumia magari ya umma.
 
Back
Top Bottom