TANZIA MwanaJF Ndikwega afariki dunia katika ajali ya gari eneo la Igawa

Apumzike kwa amani , ilikuwa moja ya nguzo ya kupigania haki za Rungwe
 
RIP Member
Hivi watu humu Kuna wengine Mwafahamiama Vyema kabisa ?
natamani siku tutangaze michango tufanye party tuone haiwezekani misiba ndo iwe utambulisho wetu kamili wa kidugu
 
Igawa kuna mkeka mmoja unashawishi sana..kukimbia..kwa safari za mbali ni muhimu sana kua na red bull 4 au 6 ili kuondoa uchovum...
Ukizingatia katika kupandisha nakushusha mlima nyoooka na pale alitamani awahi kazini auchezee ule mkeka Hadi kwaheri mbeya karibu njombe
 
i feel sorry, uwekwe utaratibu wa rambirambi
 
Ni suala la muda tu kila mtu atavuka mto! Roho ya marehemu ipate rehema kwa Mungu, apumzike kwa amani
 
Ukizingatia katika kupandisha nakushusha mlima nyoooka na pale alitamani awahi kazini auchezee ule mkeka Hadi kwaheri mbeya karibu njombe
Kweli ule mkeka ni balaa wiki kadhaa nilikua sijaangalia speed o meter chuma kilikua kimefika 150 kimasihara..kabisa..
 
Najua kuna siku 1 namimi nitaenda ila ki ukweli siku hizi naumia nikisikia msiba,naumiaaa
 
Pole kwa familia yake.Mbele yake nyuma yake.
 
Bwana ametoa na bwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe...Amen RIP Ndikwegha..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…