TANZIA MwanaJF Saint Anne, amefiwa na baba yake mzazi leo

Pole mtu wa Mungu
RIP Baba wekeni ka namba walau ka kutuma rambirambi jamani mnakwama wapi?
 
Pole mkristo mwenzangu Anne, Mwenyenzi Mungu awape faraja wewe na familia yako.

Familia yako ya JF tunaweza kutamani kuchangia walau kidogo gharama za msiba, Dada HS na Mkuu mshana tunaomba utaratibu.
Pole mtu wa Mungu
RIP Baba wekeni ka namba walau ka kutuma rambirambi jamani mnakwama wapi?
Nimefanikiwa kupata namba ya kuweza kutuma rambirambi. Namba ya kutumia ni 0756865385 jina ni ABEL KAHAVA (huyu nimwanafamilia) Mbarikiwe sana na kujazwa maradufu popote pale mtakapopunguza.

Mshana Jr naomba uweke update pale juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…